Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

Status
Not open for further replies.

Kyamkwikwi

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
441
195
Si unajua CDM jina kubwa ukitangaza tu kugombea kupitia CDM hata kama una kichwa cha ndimu wewe kura umepata hadi utazikataa na hapo CDM inabidi ipaangalie sana maana inaweza kukuta tunakuwa na watu wa ovyo kwenye safu za uongozi na wakawa mzigo kwa wananchi. Ebu we fikiria hata kwa akili ya kawaida ni mwanamke gani mwenye busra na akili timamu anaweza kusimama jukwaani na kushika kipaza sauti akijitangaza kwamba alitongozwa na fulani, hata changudoa hawezi kufanya upuu.zi wa kiji.ga namna hiyo.

aisee nimecheka sana.
Huyu mama kitumbua kimeingia mchanga kutokana na tamaa zake sasa ameamua kujivua utu na kujidhalilisha mbele ya wananchi.
Kwa kweli siasa si mchezo wa kuuvagaa kichwa kichwa.
pole sana mama, siasa achana nazo kabisaaa.
 

Tumaini Makene

Verified Member
Jan 6, 2012
2,620
1,500
Bado Wanahudhuria MIKUTANO ya MADIWANI kama CHADEMA lakini WanPIGA KURA kwa CCM; NDIO MAANA wakili au JUDGE wa ARUSHA amewataka hao MADIWANI wailipe CHADEMA sh. MILLION 15
Hili uliloandika hapa si sahihi. Fanya clarification kama unahitaji, lakini hakuna kitu kama hicho. Unajua kesi waliyoshindwa inahusu nini?
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
46,430
2,000
Si unajua CDM jina kubwa ukitangaza tu kugombea kupitia CDM hata kama una kichwa cha ndimu wewe kura umepata hadi utazikataa na hapo CDM inabidi ipaangalie sana maana inaweza kukuta tunakuwa na watu wa ovyo kwenye safu za uongozi na wakawa mzigo kwa wananchi. Ebu we fikiria hata kwa akili ya kawaida ni mwanamke gani mwenye busra na akili timamu anaweza kusimama jukwaani na kushika kipaza sauti akijitangaza kwamba alitongozwa na fulani, hata changudoa hawezi kufanya upuu.zi wa kiji.ga namna hiyo.
kilichoniacha hoi ni jinsi povu lilivyomtoka hapo kwenye picha mpaka kina nape wanashangaa.
Yani mama amekosa pesa ya kulipia faini mahakamani ikabidi aje jukwaani na kuruka sarakasi wakati amevaa taulo.
sijui watoto wake wanajiskiaje.
 

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
10,787
2,000
sio kweli ndugu ila wamepewa muda fulani na mahakama kulipa ile faini ya milioni 15 kwahiyo inawezekana moja kati ya sharti alilopewa na Jangili Kinana na Nape ili kumpa fungu ni hilo la kutoa statement ambayo ni CONTROVERSIAL ili kupata attention fulani.
huyo mama ni malaya!!!
 

Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,596
2,000
Usimpangie siku ya kusema leo ndio ni muda muafaka kwake kusema...yaani huyu mama kusema ukweli ndio ana akili, mkuu punguza mapenzi huyo mama kavunjiwa heshima yake. Ukweli siku zote mchungu.
Ritz bwana,Duh

Kaka huyo jamaa hapo pembeni akiyevaa miwani kashika Mic ya Rangi ya Chungwa ndiyo zake asimsingizie Lema.Yaani kwake kueneza sera na itikadi ya chama chake ni kueneza uzuri wa nguo za ndani.Flabbergasted!

-Ritz wewe ni great thinker sina mashaka nawe hata kama baadhi ya wafuasi wa chama changu wanakuona otherwise,but mwambie huyo jamaa aacha hizo.
 

kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Hana akili huyao diwani kabisa, alikuwa wapi siku zote kusema hayo????
We ndo mjinga unayetaka kutawala utashi wa mtu ktk kuamua aseme lini diwani ni mwanasiasa amesubiri forum ya siasa kamwaga mboga tatizo wanazi wa magwanda mnaumwa ugonjwa mbaya sana hamtaki kuamini kuwa viongozi wenu wengi ni wahuni na wezi mmefikia hatua ya kutoamini upuuzi wanaoufnya mnaona ni siasa wengi ni majambazi na hawana hekima mimi binafsi kiongozi wa maana chadema ni Freeman mbowe hawa wengine akina lema na slaa ni wapuuzi fulani
 

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
kilichoniacha hoi ni jinsi povu lilivyomtoka hapo kwenye picha mpaka kina nape wanashangaa.
Yani mama amekosa pesa ya kulipia faini mahakamani ikabidi aje jukwaani na kuruka sarakasi wakati amevaa taulo.
Sijui watoto wake wanajiskiaje.


huyo mama pia ni hatari sana

mweke mbali na tembo mkuu...!!
 

kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
*** **** Mbona issue mliompakazia mwigulu igunga mliiongelea kwenye majukwaa hamjaita press conf ,leo mmeumbuliwa mnajifanya watu wa principle za kisiasa acheni unafiki viongozi wenu wengi wamezidi ufuska ,mnajidanganya eti slaa anauwezo wa kudhibiti rushwa toka lini mtu aliyekua kiongozi wa kiroho akawakimbia kondoo wa Mungu akaanza kuwapa majeraha kwa kuzini na wake za watu ,,ninyi mnadhani wanaoiba pesa za umma wanahatia kuliko malaika wenu slaa anayeiba wake za watu ,mnamuona ndo masihi wa ukweli ,huyo asipotubu hukumu yake ni ktk lile ziwa la moto ,hakuna tofauti kati ya mwizi wa wake za watu na wala rushwa ,kama ameshindwa kuhisi uchungu anaoupata mr mushumbusi kwa kumpora mke atawezaje kuwa na huruma na watu wengine ,natoa unabii slaa atakwenda kaburini hatauonja urais wa hili taifa
 
Status
Not open for further replies.
Top Bottom