Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

Status
Not open for further replies.
kwan nani kakuambia kua wananchi wa arusha hatuipendi ccm?

SIJASEMA kuwa CCM haipendwi ARUSHA... NIMESEMA KUPENDWA labda KUPENDWA na KUPATA MBUNGE toka CCM HATA KIDOGO SIJASEMA CCM HAIPENDWI ARUSHA; PLEASE DON'T TWIST MY WORDS!!!! ni DHAMBI!!!
 
zamani Nilikuwa nikisika ile kauli mbiu kuwa "somesha mtoto wa kike ukomboe Taifa" actually sikuwa napata Maana yake kwa mapana zaidi, but mara baada ya uchaguzi uwt ambao wajumbe wake walimchagua yule mama, ingawa wakati wa kunadi sera zake alikuwa hata uwezo wa kujibu maswali ya msingi kama aliyoulizwa na shyrose hakuwa nao zaidi ya kuporomosha matusi na huku akisema wazi kuwa kule bungeni wabunge wa ccm wapo katika kutetea maslahi ya chama na serikali hata kama inafanya madudu na sio maslahi ya wananchi, lakini wanawake wale walimshangilia na kuchagua ***** ule, mwisho wa siku nikakumbuka kuwa zaidi ya 50% ya wapiga kura wa Tz ni wanawake, na hao ndio wanaendelea kuwaummiza waTz walio wengi kwa maamuzi yao cheap ya kudanganywa kwa kanga na wali wakati wa kampeni, pamoja na kwenda kumpigia kura mtu kwasababu ya u handsome wake, baada ya kuchanganya matukio yote haya, ndio nilipata picha halisi ya Hyo slogan, so far huyu mama nae tumuhukumu kwa uanamke wake tu
 
  • Thanks
Reactions: ral
nngu007 statement yako imekosewa umetumia neno diwani wa chadema badala ya aliyekuwa kwani yeye si diwani wala mwanachama wa chadema for long time kwahiyo inabidi urekebishe maneno yako.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa kudhalilishwa mama na hongera kwa maamuzi sahihi uliyofanya.hawa kina lema hawafai kabisa
 
wenye akili watafikri angalau alishawapa mara moja tuhuma nzito hizo


mumewe atamwamini tena huyu mama?,
 
aisee nimecheka sana.
Huyu mama kitumbua kimeingia mchanga kutokana na tamaa zake sasa ameamua kujivua utu na kujidhalilisha mbele ya wananchi.
Kwa kweli siasa si mchezo wa kuuvagaa kichwa kichwa.
pole sana mama, siasa achana nazo kabisaaa.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).


TAARIFA KUHUSU MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA YALIYOFIKIWA KATIKA MKUTANO WA DHARURA ULIOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI/JUMAPILI TAREHE 06-07 AGOSTI 2011 KATIKA HOTELI YA IMAGI MJINI DODOMA.

Kamati Kuu ya CHADEMA ilikutana katika Mkutano wa Dharura uliofanyika siku ya Jumamosi na Jumapili tarehe 06 Agosti 2011 katika Hoteli ya Imagi Mjini Dodoma. Pamoja na mambo mengine Ilifikia maamuzi yafuatayo :

1. Kamati Kuu ilipokea taarifa ya utekelezaji wa maagizo iliyoyatoa katika Mkutano wake wa tarehe 17 Julai 2011 iliyowataka madiwani wa CHADEMA Arusha kujiuzulu nafasi walizozipata pamoja na kuomba radhi kwa makosa waliyoyafanya kutokana na mwafaka uliofikiwa baina yao na madiwani wenzao wa TLP na CCM kwa kuwa chama hakikuridhia wala kuutambua mwafaka huo.

2. Kamati Kuu imezingatia kuwa, kati ya madiwani 10 waliopewa maelekezo na Kamati Kuu, madiwani watano (5) ndio wametekeleza maelekezo kikamilifu wakati madiwani wengine watano (5) wamekataa kuyatekeleza maelekezo hayo.

3. Baada ya kutafakari kwa kina taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati Kuu, na kuwapa nafasi ya kujieleza mbele ya Kamati Kuu Madiwani ambao walikuwa hawajatekeleza maelekezo,Kamati Kuu imezingatia kuwa madiwani wamekataa kutekeleza maagizo ya Kamati Kuu.

Aidha, Kamati Kuu imezingatia kuwa kitendo cha madiwani kukataa kutekeleza maagizo halali ya Kamati Kuu ni utovu mkubwa wa nidhamu na ni kuvunja maadili na kanuni za chama, na kinaenda kinyume na msingi mama wa CHADEMA wa uwajibikaji.

Hivyo basi, kwa kutumia mamlaka ya Kikatiba Kamati Kuu imewafukuza uanachama madiwani watano wafuatao kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo ya Kamati Kuu:

i) Ndugu Estomih Mallah

ii) Ndugu John Bayo

iii) Ndugu Charles Mpanda

iv) Ndugu Rehema Mohamed

v) Ndugu Reuben Ngowi

Watajwa hapo juu wamejulishwa maamuzi ya Kamati Kuu ndani ya Mkutano tarehe 07 Agosti 2011 saa 7:57 usiku, Aidha, kila mmoja wao atakabidhiwa barua yenye kueleza maamuzi ya Kamati Kuu.
 
ataje na aliowapa basi

HIVI KWANINI SIKU HIZI CCM NA NGONO VIMEKUA VERY COMMON?? YANI MAMA AMEONA ILI KUVUTIA CCM, BASI AZUNGUMZIE MBUNYE??

SHE NEEDS TO BE OPEN NA ASEME UKWELI VIJANA WADOGO WAMEMCHEZEA MNO
 
nngu007 STATEMENT yako HII imekosewa umetumia neno diwani wa chadema badala ya aliyekuwa kwani yeye si diwani wala mwanachama wa chadema for long time kwahiyo inabidi urekebishe STATEMENT yako.
 
Last edited by a moderator:
Hapa mmepatia Ritz kwenye habari za udaku ataongea mpaka basi, lakini mijadala ya hoja za maana kamwe humwoni. Wewe ukitaka kumwona Ritz, Chama na wenzake weka habari za udaku mf. ukiandika Dr. Slaa aumbuka hata usipotaja kaumbuka kwa lipi au ukiandika Mbowe alewa chakali bila hata maelezo baasi ni kama umewakuna hasa.

Usimpangie siku ya kusema leo ndio ni muda muafaka kwake kusema...yaani huyu mama kusema ukweli ndio ana akili, mkuu punguza mapenzi huyo mama kavunjiwa heshima yake. Ukweli siku zote mchungu.
 
Tutaona mengi mwaka huu!.Wacha kina kinana waendelee na ziara.Hivi ukifanya kama huyu mama unalipya kiasi gani vile?.Ila mambo mengine inabidi ujikatae sana kabla hujajidhalilisha.Ua wanatembea na pombe?.Mambo kama haya huwezi kutamka mkutanoni bila kuwa umeonja kileo.
 
Cha msingi hapa, kama amesema uongo na kutaja majina ya watu wakubwa na wazito wa chama kubwa CDM, inabidi wajipange kwenda mahakamani. Wakikaa kimya ina maana itakuwa kweli. Sasa ikiwa kweli, hilo litakuwa tatizo kwa sababu hatuwezi kuwa na viongozi wanyanyasaji wa kijinsia namna hiyo. Ikifikia hatua hiyo itabidi turudi Bili club tuachane na siasa!
 
nngu007 statement yako imekosewa umetumia neno diwani wa chadema badala ya aliyekuwa kwani yeye si diwani wala mwanachama wa chadema for long time kwahiyo inabidi urekebishe maneno yako.

Bado Wanahudhuria MIKUTANO ya MADIWANI kama CHADEMA lakini WanPIGA KURA kwa CCM; NDIO MAANA wakili au JUDGE wa ARUSHA amewataka hao MADIWANI wailipe CHADEMA sh. MILLION 15
 
Hao ni wanaume ( Lema na Babu) kumtaka si hoja hoja kama walibaka na kama walilazimisha penzi angewa tegeshea wakamatwe japo mmoja wao.
 
Wataendelea kuishi kwa taabu sana. Guiltness inawasumbua sana. Naona wanasaka pumziko la muda. Kujifariji. Maana kwa usaliti waliowafanyia wana wa Arusha na watanzania wapenda haki, hawatakaa wapate pumziko la muda mrefu kwa amani. Ofcourse wanadaiwa milioni 15, no wonder wanasaka pa kupatia. Kwa vitendo vya utovu wa nidhamu, hapa mkuki umerudi porini.
 
ataje na aliowapa basi

HIVI KWANINI SIKU HIZI CCM NA NGONO VIMEKUA VERY COMMON?? YANI MAMA AMEONA ILI KUVUTIA CCM, BASI AZUNGUMZIE MBUNYE??

SHE NEEDS TO BE OPEN NA ASEME UKWELI VIJANA WADOGO WAMEMCHEZEA MNO

sio kweli ndugu ila wamepewa muda fulani na mahakama kulipa ile faini ya milioni 15 kwahiyo inawezekana moja kati ya sharti alilopewa na Jangili Kinana na Nape ili kumpa fungu ni hilo la kutoa statement ambayo ni CONTROVERSIAL ili kupata attention fulani.
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom