Ushauri wenu tafadhali, je anaweza kuchaguliwa kwa huu ufaulu?

future man

Member
Feb 2, 2021
5
0
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu na moja kwa moja nielekee kwenye uzi wangu.

Nina kijana wa dada angu amemaliza kidato cha 4 2020 na akafaulu kama ifuatavyo.
ENGLESH. C
GEOGRAPHY .C
KISWAHILI. B
HISTORY .C
B/MATH .F
CHEMISTRY. C
CIVICS .B
PHYSICS . D
BIOLOGY. B

Anadaraja la pili lenye point 18 anataka kwenda chuo cha afya kwa kozi ya pharmacy au medical laboratory ushauri wenu tafadhali je anaweza kuchaguliwa kwa huo ufaulu? Na kama haiwezekani ni kozi gani ya afya ina mfaa?

Ushauri wenu ni wa muhimu wakuu.
 
Back
Top Bottom