Hahaaaa......ramri chonganyishiPepo lako la utabiri linakukosesha.
Hapa tunajaribu kufafanua anachomaanisha kinyau/kipanya.
Haya uliyoandika sijayatamka mimi.
Achana na hilo pepo la utambuzi linakupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
exactly..Kiti kikuu kimebaki bila mkaliaji na kiti kisaidizi kimebaki empty pia. Sasa sijui wakaliaji wameenda wapi...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Htr sn sn,,,,,,,,,,,,Ofisi kuu kiti kimewekewa rimoti, na extenshen mwenyewe hayupo.
Nahisi ni taswira ya kuonyesha hakuna uongozi wa juu ulio active"
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri ya picha ili ieleweke cha kwanza ni kutambua maudhui,muundo na mtindo.Pepo lako la utabiri linakukosesha.
Hapa tunajaribu kufafanua anachomaanisha kinyau/kipanya.
Haya uliyoandika sijayatamka mimi.
Achana na hilo pepo la utambuzi linakupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiti kidogo chato, kikubwa magogoni.. kazi kisasaOfisi mahala popote,ili mradi pawepo vitendea Kazi vya ofisi vyenye kuonesha utambuzi wa Ofisi.
Siku hizi hata vikao na mikutano mikubwa inafanywa online/kupitia mitandao.
Hahahaaaa......naona lockdown ya chato imeisha baada ya miezi 2