Aliyeelewa maana ya hii anisaidie!

Aliyeelewa maana ya hii anisaidie!

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,281
Aliye mwelewa Masoud hapa. Naomba tafsiri.

IMG-20200520-WA0003.jpg
 
Ofisi mahala popote,ili mradi pawepo vitendea Kazi vya ofisi vyenye kuonesha utambuzi wa Ofisi.

Siku hizi hata vikao na mikutano mikubwa inafanywa online/kupitia mitandao.
 
Tatizo mnasahau sana,kipindi cha nyuma mlisema ONE MAN show, sasa hivi mnasema WHERE ARE DADY.
Nashindwa kuelewa mmesimamia wapi?
Pepo lako la utabiri linakukosesha. Hapa tunajaribu kufafanua anachomaanisha kinyau/kipanya.
Haya uliyoandika sijayatamka mimi.

Achana na hilo pepo la utambuzi linakupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom