hii inaonesha long distance relationship kati ya boss na kiti (majukum) yake
Hahahaaa......Kuna kaukweli. Mtu kajichimbia keza mbochi for two months!hii inaonesha long distance relationship kati ya boss na kiti (majukum) yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa amekua ndo msemaji mkuu wa serikali badala ya kuongoza bunge lisimamie serikali......Hapo kuna meza na kiti (huyo ni speaker Ndugai) kiti cha nyuma ni Magoo-fool ambaye ndye anamuongoza Ndugai...hakuna LA ziada tena!
Sent using Jamii Forums mobile app