Aliye tayari kuwekwa ndani......

Aliye tayari kuwekwa ndani......

Wewe ni domo zegeee???
Kwani hujui kumtokea demu

Life is really simple , but we insist on making it complicated,
hii kwangu ni fulsa na nimeitumia au nn maana ya kuwepo jukwaa hili?
 
Kumweka ndani?/rumande? Kwani amefanya kosa gani? Hata ningekuwa mimi nisingekubali kuwa tayari kuwekwa ndani bila kosa lolote.

Anawekwa ndani kwa kosa la kuolewa na Engineer...LOL
 
Life is really simple , but we insist on making it complicated,
hii kwangu ni fulsa na nimeitumia au nn maana ya kuwepo jukwaa hili?

Hapa umesimplify au umezidi kucomplicate mambo!!
We nenda Love Connect Huko Utafanikiwa,Otherwise Ni Mzaha
 
If I were a boy, i think you could understand...

aisee ndani ya huu wimbo kuna kapati kananisikitisha..

jamaa anamwambia beyonce eti hajisikii kama amelala na msichana kabisa.. as if kalala na mwanaume mwenzie!

imagine itakavyomuuma mwanamke akiambiwa hivyo!!

(btw, nakutakia njia njema kwa mchumba umtafutaye, nakushauri hamia jukwaa la elimu.. kule kuna grade IIIa, diploma, degree mpaka masters..)
 
mbavu zangu mie.....aje arekebishe hahahaahahahaah
 
Back
Top Bottom