Kuwekwa ndani?? Rumande ama?
Kumweka ndani?/rumande? Kwani amefanya kosa gani? Hata ningekuwa mimi nisingekubali kuwa tayari kuwekwa ndani bila kosa lolote.:A S 100:Naitwa ........... ninamiaka 27, ni-naelimu ya stashada(Ordinary diploma) ktk field ya engineering. natafuta msichana/mwanamke sitamkagua vyeti kujua ana elimu kiasi gani bt uelewa kwangu ndo kila kitu :argue:
Eeeeh ..pole sana kiivi ni ngumu kupata
Kila la kheri
Love is an irresistible desire to be irresistibly desired
duniaaaa....!!!
dunia mapito jama!
Wewe ni domo zegeee???
Kwani hujui kumtokea demu
kwamantic hiyo hili jukwaa umeona halina maana?