Aliye ndani ya Schengen Countrie anahitajika

Aliye ndani ya Schengen Countrie anahitajika

Unaogopa shughul eeh loh?!! Usijali nakutafutia huyo huyo ahahaha

Hapana vijana wapo bize na maisha ila mzee kishataafu na kiinua mgongo kwenye account
muda mwingi tutakuwa wote tumepandishiana miguu kwenye kochi
 
Wale waliopo kinondoni manyanya tutafutane jamani jioni pale mwembe jini
 
Nami mwenzenu napatikana Finland kwa mdada aliyepo huku please inbox

Finland mji gani? Huenda we ni jirani yangu mana mi nipo Luleå Sweden japo kwa sasa nimekuja bongo one tym
 
Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo ya baba na mama!

Ngoja fisadi Lowasa na Genge lake watakutafuta!
 
Back
Top Bottom