Bizzy bora
Member
- Nov 25, 2019
- 6
- 1
Cool xan yan iko xaw
Pongezi kwa mselaKatika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana,
Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho kwa akili ya kawaida unaona hakina udhamani wowote ila yeye bado kakifikiria kukifanya hicho hicho ambacho hakina dhamani.
Swali la kujiuliza huyu alitamani awe nani haswa katika kufanikisha azima ya maisha yake ya ubunifu kama huu?
Mimi nimeipenda kazi hii sana hata kwa kuiona tuView attachment 1268928View attachment 1268930View attachment 1268931View attachment 1268932View attachment 1268933View attachment 1268934