fokonola bokoyoka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 965
- 640
Hii ya ma bikra ni noma ni kama wine inacharuka baadae
Ni afadhali kuoa aliyetumika hadi akachoka mwenyewe kuliko bikra. Wanacharuka ndani ya ndoa. Yalitukuta
Una seem kua umekereke na nilivyo jibu eeh? pole sikumanisha kwa ubaya ni kiroho safi tuu,usikereke kwa hisani yako..Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama unakuuma. Mwanamke yeyote yule kuna wakati alikuwa bikra. Kuna wengine hutolew bikra kabla ya kuolewa na wengine hutolewa bikra baada ya kuolewa na huyo mumewe. Sasa kama mtu kabahatika kumkuta mkewe bikra huo ni ukweli haupingiki hata kama wengine hawataki kukubali.
Tatizo unamwamini sana kupita kiasi. Ukimfumania ni pigo kubwa utamdharau ile mbaya na hapo ni mwisho wa ndoa bali ni kuishi kimazoea tu. Kama mkiwa bado wabichi lazima ndoa ivunjike. Ukioa aliyetumika kuanzia mwanzo unajua kuwa anaigawa na kila siku lazima uwe mwangalifu hata kumbana ili asirudie. Mtu kumchapa kabla ya ndoa si neno sana ila kumchapa akiwa katika ndoa ndiyo kashesheMi nilijua ukioa bikira mnakuwa na amani kwa kuwa ulimkuta hivyo kwa hyo utamuheshimu na hata akikosea hutamuhukumu kwa kuwa alikupa zawadi ya ubikira wake.
hahaha pole nao wanataka kujua tofauti ya vifanyio vyenu..na usiombe akapata kitendea kazi kukuzidi wewe mbona utashaa..!! atakukimbia huku akikutusiiiiiNi afadhali kuoa aliyetumika hadi akachoka mwenyewe kuliko bikra. Wanacharuka ndani ya ndoa. Yalitukuta
Bikra is just a gift, dear sisy!Kwani unaoa bikira au unaoa mke?
Mwisho utakutana na walioharibiwa njia zote, be careful what you wish for. Actually, kwa sasa vijana mjiandae kukutana na wanawake walioharibiwa milango ya nyuma...ndo mana me napendaga wale ma kubuu ( walioshndkana) nataka mwanamke awe amefanya kila aina ya ujinga kutoka hata na watu wa 4 kwa mpigo ikifikia hatua anataka badilika awe na mtu mmoja iwe ndo mm sasa, dem ambaye ajawah fanya ujnga kama huo cwez kua nae labda nipashe mwil tu niwaachie wengne
PoleHabari wana JF,
Kuna imani imetanda miongoni mwa watu kwamba ukioa mwanamke bikira ni vigumu kusalitiwa (mwanamke huyo kuchepuka).
Mwaka 1998 nilihudhuria ndoa ya jirani yangu hapa mtaani ambapo alinihakikishia kwamba yeye ndie wa kwanza kukutana na mke wake kimwili.
Miaka ilisonga na ilipofikia mwaka 2013 jirani yangu huyu aliposafiri kikazi katika mkoa jirani mambo yalianza kubadilika ambapo mpiga kinanda wa kanisani alianza kumnyemelea mke wa jirani na hatimae kufanikiwa kuvunja amri ya 6 katika kitanda cha mmewe.
Siri hii ilifichuka baada ya watoto kumwambia baba yao kwamba anaposafiri huja baba mwingine na hulala chumbani kwake.
Mama jirani alikiri kosa na maisha yakaendelea kama kawaida ila katika hali isiyotazamiwa mama jirani kaingia mtegoni tena na sasa anachepuka na boss flani ambapo mitego imeshategwa inasubiriwa kunasa tu.
Ushauri wangu:-
Kuoa mwanamke bikira sio kigezo cha uaminifu katika ndoa ila mambo haya ni tabia ya mtu tu.
I wonder some men have sworn that they will marry bikira, if it's a gift no body knows who would be gifted with it.Bikra is just a gift, dear sisy!
Tupe pole mamito kuzaliwa mwanaume kaaaazi kweli kweli. Matamanio ya kila dume ni kupata K ambayo hakuna mtu alishaweka kikojoleo chake na iwe yako tu milele. Inafikia muda ungependa hata ukifa asitafunywe mpaka afe. Hii ni hypothetical ilikuwa ni rahisi wakati hakuna utandawazi. Masaluni yameleta kasheshe kweli maana huko atasimuliwa kunyonywa kulivyo kutamu na hawezi kukueleza. Kesho yake atampata wa kumnyonya akipata utamu anaambiwa hujaliwa D2 hivyo hujajua utamu atakwenda kwa basha ndo kupotea huko. Kuoa bikra tabu tupuhahaha pole nao wanataka kujua tofauti ya vifanyio vyenu..na usiombe akapata kitendea kazi kukuzidi wewe mbona utashaa..!! atakukimbia huku akikutusiiiii
Mshike dini hayo yanapatikana akhera.Tupe pole mamito kuzaliwa mwanaume kaaaazi kweli kweli. Matamanio ya kila dume ni kupata K ambayo hakuna mtu alishaweka kikojoleo chake na iwe yako tu milele. Inafikia muda ungependa hata ukifa asitafunywe mpaka afe. Hii ni hypothetical ilikuwa ni rahisi wakati hakuna utandawazi. Masaluni yameleta kasheshe kweli maana huko atasimuliwa kunyonywa kulivyo kutamu na hawezi kukueleza. Kesho yake atampata wa kumnyonya akipata utamu anaambiwa hujaliwa D2 hivyo hujajua utamu atakwenda kwa basha ndo kupotea huko. Kuoa bikra tabu tupu
Kama ametulia ni bora kuliko atakayejaribisha akiwa katika ndoa.Mwisho utakutana na walioharibiwa njia zote, be careful what you wish for. Actually, kwa sasa vijana mjiandae kukutana na wanawake walioharibiwa milango ya nyuma...
Daktari ukianza hayo ya Dini sie tunakuona kama umefika mwisho wa kufikiri. Nazidi kusisitiza kuwa ni bora ukaoa aliyestaafu yupo tayari kujenga familia kuliko kuhangaika na mibikra. Kwani tumezivunja ngapi na tuliowavunja wasipate wa kuwaoa? Haya mambo ya kizamani na wengine ati marinda nawe kama unayataka si uombe tu na ukioa hakuna kuuliza oh nani alikubikiri au ulishafumuliwa marinda. Oa aliye tayari na asiwe chini ya miaka 35 na wewe 40Mshike dini hayo yanapatikana akhera.