Alioa bikira, miaka 15 baada ya ndoa ameanza kuchapiwa

Alioa bikira, miaka 15 baada ya ndoa ameanza kuchapiwa

Mbona mfalme Mswati alichapiwa? Sembuse hiyo 'kajamba nani'?
Watu wanapiga tu *****.
 
Kipindi niko sekondary niligonga karibia nusu ya shule maana wasichana walikuwa wengi sana lkn ckubahatika kugonga hata bikra moja.ila michepuko ni tabia ya mtu
 
Ubikira ndio unadhibitisha nini ktk ndoa kwani?dhana potofu hizo.
 
Bora uweke ndani mwanamke aliye pitia mbo***o za kila aina atatulia kuliko mwenye bikra
 
First off, ilikuaje huyo jirani yako akusimulie kuwa amekuta mke wake yuko sealed (bikira)? Huo ndo huo unaoitwa uvulana au ni ujinga au ni ulimbukeni au...au?? Inakuaje mwanaume wa ukweli usimulie mambo yako ya faragha? Mkuu na wewe unamsimuliaga ishu zako za ndani zinazokuhusu wewe na shemeji?

Naomba umpe pole huyo jirani. Pia mkumbushe tu kuwa asifikiri kuiondoa bikira mwenyewe basi ni kinga ya kutochapiwa. Hivyo ni vitu viwili tofauti....japo kunaweza kuwa na kauhusiano fulani, but it is not the rule of thumb. Kuchapwa nje ni tabia tu ya mtu na anaweza mtu kuidevelop muda wowote ule katika maisha kwa sababu yoyote ile...iwe ya maana (justifiable) au ya kipuuzi tu.
 
Habari wana JF,

Kuna imani imetanda miongoni mwa watu kwamba ukioa mwanamke bikira ni vigumu kusalitiwa (mwanamke huyo kuchepuka).

Mwaka 1998 nilihudhuria ndoa ya jirani yangu hapa mtaani ambapo alinihakikishia kwamba yeye ndie wa kwanza kukutana na mke wake kimwili.

Miaka ilisonga na ilipofikia mwaka 2013 jirani yangu huyu aliposafiri kikazi katika mkoa jirani mambo yalianza kubadilika ambapo mpiga kinanda wa kanisani alianza kumnyemelea mke wa jirani na hatimae kufanikiwa kuvunja amri ya 6 katika kitanda cha mmewe.

Siri hii ilifichuka baada ya watoto kumwambia baba yao kwamba anaposafiri huja baba mwingine na hulala chumbani kwake.

Mama jirani alikiri kosa na maisha yakaendelea kama kawaida ila katika hali isiyotazamiwa mama jirani kaingia mtegoni tena na sasa anachepuka na boss flani ambapo mitego imeshategwa inasubiriwa kunasa tu.

Ushauri wangu:-
Kuoa mwanamke bikira sio kigezo cha uaminifu katika ndoa ila mambo haya ni tabia ya mtu tu.

Sikia mkuu, hakuna mwanamke asiyetamani kupigwa pumbu nje ya ndoa yake. Miaka ya nyuma nilikuwa siamini hii kitu ila kuna siku nilimbamba mama wa mshkaji wangu yaani mama wa heshima kabisa. Huyu Mama alikuwa anachapwa na jamaa ambaye ni mjomba wa rafiki yangu, mwanzoni mshikaji aliponiambia sikuamini na nilimkatalia kabisa kwamba si kweli. Mshikaji akanitegea, siku ikafika akaniambi nimsindikize kwa uncle wake anakwenda
Habari wana JF,

Kuna imani imetanda miongoni mwa watu kwamba ukioa mwanamke bikira ni vigumu kusalitiwa (mwanamke huyo kuchepuka).

Mwaka 1998 nilihudhuria ndoa ya jirani yangu hapa mtaani ambapo alinihakikishia kwamba yeye ndie wa kwanza kukutana na mke wake kimwili.

Miaka ilisonga na ilipofikia mwaka 2013 jirani yangu huyu aliposafiri kikazi katika mkoa jirani mambo yalianza kubadilika ambapo mpiga kinanda wa kanisani alianza kumnyemelea mke wa jirani na hatimae kufanikiwa kuvunja amri ya 6 katika kitanda cha mmewe.

Siri hii ilifichuka baada ya watoto kumwambia baba yao kwamba anaposafiri huja baba mwingine na hulala chumbani kwake.

Mama jirani alikiri kosa na maisha yakaendelea kama kawaida ila katika hali isiyotazamiwa mama jirani kaingia mtegoni tena na sasa anachepuka na boss flani ambapo mitego imeshategwa inasubiriwa kunasa tu.

Ushauri wangu:-
Kuoa mwanamke bikira sio kigezo cha uaminifu katika ndoa ila mambo haya ni tabia ya mtu tu.

Sikia mkuu, hakuna mwanamke asiyependa kuchapwa nje ya ndoa yake na kama wapo ni asilimia ndogo sana. Everybody has a fantasy. Miaka ya nyuma kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mama jirani yetu anachapwa na mjomba wake, haki ya nani sikumuamini. Nilimkatalia nje nje kwa jinsi yule Mama alivyokuwa anajiheshimu na kujiweka kisawa pale mtaani kwetu. Rafiki yangu aliniambia yule Mama mara nyingi huwa anakwenda kula gegedo kwao (jamaa alikuwa anaishi na mjomba wake). Siku moja rafiki yangu akanitegea, akaniambia nimsindikize kwao kuna kitu alisahau. Akanipakia kenye gari lake, tukaenda mpaka kwao mi sina hili wala lile. Tumekaa sebuleni kidogo akatoka mjomba wake akiwa kavaa kitaulo kuja kucheki ni nani wanapiga kelele sebuleni baada ya kuona ni sisi akarudi kuchapa. Baada ya kama lisaa moja na kitu hivi, nikamuona yule Mama wa rafiki yangu ambaye ni jirani yetu anatoka chumbani huku akiwa mtu wa furaha. Aliponiona wala akunisalimia, yaani alikauka kinoma. Ni miaka 3 sasa, huyu Mama haongei na Mimi na akiniona wala anisalimii. Haji tena kwenye jumuiya na ninahisi amemkataza mtoto wake kupiga story na mimi maana jamaa kila anionapo anakuwa na maruweruwe fulani hivi, maongezi yake ni ya mkato sana kwangu na hakai tena kijiweni mi nikiwepo lazima atatafuta kisingizizo tu ili aondoke. Mimi sijamuambia mtu yeyote hii kitu anayejuwa ni rafiki yangu tu na mwenyewe yule Mama ila nashangaa nachukiwa mie. Licha ya haya basi, kuna kama kina Mama 4 hivi nilishawachapaga na wote wameolewa. Nyege bwana kwa kweli inabidi tuiheshimu tu na kuipa haki yake.....ninawaomba tusihukumu nyege kwani itatukosoa. Tujiulize, kwa nini kina Mama wakizidiwa wanatumia matango ama karoti kujichua? Au kwa nini sie wanaume tunafila wanyama au kubaka nzi wale wa CCM?
 
Ni tabia ya MTU ndio lakini pia tabia ya mume.wanawake lazima mjue kuishi nao ukipunguza mapenzi and care anapata wa kumjali kama hajasimama ana ibwa... Kuna shida nyuma ya pazia mpaka kufikia hayo japo alikosea angetatua.... Ila mijanaume mingine gubuuu hata muda wa kuyaongea labda haupo.
 
Habari wana JF,

Kuna imani imetanda miongoni mwa watu kwamba ukioa mwanamke bikira ni vigumu kusalitiwa (mwanamke huyo kuchepuka).

Mwaka 1998 nilihudhuria ndoa ya jirani yangu hapa mtaani ambapo alinihakikishia kwamba yeye ndie wa kwanza kukutana na mke wake kimwili.

Miaka ilisonga na ilipofikia mwaka 2013 jirani yangu huyu aliposafiri kikazi katika mkoa jirani mambo yalianza kubadilika ambapo mpiga kinanda wa kanisani alianza kumnyemelea mke wa jirani na hatimae kufanikiwa kuvunja amri ya 6 katika kitanda cha mmewe.

Siri hii ilifichuka baada ya watoto kumwambia baba yao kwamba anaposafiri huja baba mwingine na hulala chumbani kwake.

Mama jirani alikiri kosa na maisha yakaendelea kama kawaida ila katika hali isiyotazamiwa mama jirani kaingia mtegoni tena na sasa anachepuka na boss flani ambapo mitego imeshategwa inasubiriwa kunasa tu.

Ushauri wangu:-
Kuoa mwanamke bikira sio kigezo cha uaminifu katika ndoa ila mambo haya ni tabia ya mtu tu.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom