Alioa bikira, miaka 15 baada ya ndoa ameanza kuchapiwa

Alioa bikira, miaka 15 baada ya ndoa ameanza kuchapiwa

Aisee unajitahidi kufatilia maisha ya ndoa za watu yawezekana unahusika katika kutega huu mtego ...
Huyu jirani yangu ni kama ndg yangu hivyo analalamika sana, anaugua nafsi yake ila hana jinsi. Jana kaja ananambia mkewe kalambwa juzi ila anajikaza kiume mtego unase.
 
Huyu jirani yangu ni kama ndg yangu hivyo analalamika sana, anaugua nafsi yake ila hana jinsi. Jana kaja ananambia mkewe kalambwa juzi ila anajikaza kiume mtego unase.
aysee!! siwezi fanya huu ubwege
 
mmh kama kaonja kwa jiran na kasikia utamu upo zaid hataacha hiyo tabia....ila kuchapiwa ni siri ya ndani sasa kwann anakuhadithia au ww ndio ulikuwa mshenga wake
 
Unataka ku justify kuto kua bikira kwako au kuoa huyo uliemuoa bila bikira,hata ukijifariji alishapitiwa
 
hata bibi kizee alishawai kuwa bikra
ina maana machangudoa hawajawai kuwa mabikira?
mbona mleta mada una akili potofu hivo?....kila mwanamke awe sister ,bar maid ....kikongwe alizaliwa bikra
na tabia ya mtu haiangalii bikra wala nini
hata wanawake majambazi wapo mabikra vilevile
Watu wengi (sio wote) wanapambana ili waoe mwanamke bikira wakiamini atakuwa mwaminifu tofauti na akioa used.
 
Kuchapiwa miaka 15 baada ya ndoa ni bahati kubwa kwani wengine wengi huchapiwa siku moja tu baada ya ndoa!..... Natamani sana nipate ndoa nzuri kama hiyo ya huyo jirani yako!
 
Nani kasema ukioa Bikra hato chepuka? na kajuaje kama Bikra? haya tusingea sana sio vizuri,mwambie ivi rafiki yako
kila mla cha mwenzie na chake pia huliwaaaa,asijitie BP yakutafuta mitego na kujitia aibu sababu hujui nini kitatokea hapo kwenye mitego kama kamchoka wakae chini wa sort sio sawa kufanyiana hivi..

Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama unakuuma. Mwanamke yeyote yule kuna wakati alikuwa bikra. Kuna wengine hutolew bikra kabla ya kuolewa na wengine hutolewa bikra baada ya kuolewa na huyo mumewe. Sasa kama mtu kabahatika kumkuta mkewe bikra huo ni ukweli haupingiki hata kama wengine hawataki kukubali.
 
siku hizi kuna bikira za kutengeneza kwa limao na jivu na tembetembe za habasoda, inawezekana hio haikuwa yenyewe na haikuwa na viwangu vya tbs
Mkuu ebu fafanua zaidi maana hapa kama ni kweli tumeingia mkenge wengi
 
Chaaa, cheeee, chyaaaa.

Ucheeee, uchiiii, uchyeeee.

Jamani chafya zimenizidia
 
mmh kama kaonja kwa jiran na kasikia utamu upo zaid hataacha hiyo tabia....ila kuchapiwa ni siri ya ndani sasa kwann anakuhadithia au ww ndio ulikuwa mshenga wake
Mambo yakiwa magumu haiwezi kuwa siri tena, ni lazima utafute msaada nje ya box.
 
Mm nishatoa nyingi tuu na bado siko na hata mmoja wapo, ina maana nnachapiwa
 
Akisha tegua huo mtego ina kuwa je? Alafu nikuulize swali amesha jua tatizo ni nini mpaka mkewe ana chepuka au anawaza kutegua mitego tu? Na je kama akijua ye ndo chanzo cha mkewe kuchepuka atafanya je? Vitu vingine sio kwenda kichwa kichwa tu
 
Yawezekana anawashwa sehemu ya jirani ilipotoka bikira,sasa Bwana hapakuni hapo kwa miaka yote 15,kwahiyo asihofu ile sehemu yake aliyotoa bikira atakuwa anamtunzia ila kijambio tu ndio anasaidiwa...Mambo yamebadilika sana miaka hii
 
Back
Top Bottom