Alinunua simu iliyotumika, imemsababishia kufungwa

Alinunua simu iliyotumika, imemsababishia kufungwa

ishakua mchezo siku hizi mapolisi wanajichanga wanaenda kunua ka iphone alafu wanakivujisha mitaani kiuzwe..baadaye hao wanakuja kukukamata, wanakuonyesha full risiti etc etc...Unapigwa fine na unarudisha simu.!!

Duh.. basi wanatambia mbaya kama ni hivo. Kwann wasjtafutie pesa kwa njia halali.
 
ishakua mchezo siku hizi mapolisi wanajichanga wanaenda kunua ka iphone alafu wanakivujisha mitaani kiuzwe..baadaye hao wanakuja kukukamata, wanakuonyesha full risiti etc etc...Unapigwa fine na unarudisha simu.!!

bongo noma sna kwa nn na ss tusipige za escrow huku juu kama wa hali ya chini tunaminyana namna hiyo.
 
Wale wanaojidaganya kuwa wanaweza kuiba smart phone wasishikwe hzo ndoto za mchana, kuna program kwenye sim ukiiweka unaingiza na no nyingine ambayo utaitumia kukamatia mwizi,

Sasa waibaji wengi ni kama hyo rafiki Cjui anabadili mfumo wa sim na blabla zote, mwisho wa cku ukiweka chip tu inamtumia mwenye cm kuwa no cm yako anayo mwenye no hii..

Hapo atachagua aku trak kwa gpc o kwa mtandao wa cm, so unaweza kutumia hata mwezi ila mwisho utadakw, na jamaa atakuja na ushahidi wa mtu kufa na pesa kama m.5 hapo sas ndo utajua w mjanja au laaa..

Ushaur usinunue smartphone mkonon..
 
Hahahahaha nyie watu bwana wabishi Hiyo programu inatoka baada ya kufanya hardreset so hakuna taka taka itakayobaki mulee,hebu niambie kitu gani kitatuma taarifa baada ya mimi kuifanyia hard reset na kuchange imei ya cm nyie bwana
 
Vya mkononi ni vitamu eti hiyo ni ajali tu
 
Niende moja kwa moja katika mada iliyonifanya nishike simu yangu na kuyaandika haya baada ya kusikia habari hizi kutoka kwa rafiki yangu ambapo imenilazimu kuandika haya.

Huyu ni mshikaji wangu kitambo tumuite Masumbuko ila ila sio jina lake sahihi.Huwa namuona anapouza na kununu bidhaa kama simu kwa lengo la kuuza na kujipatia kipato.Siku moja Masu kapigiwa simu kama kuna mtu ana simu yake SAMSUNG s3, 4 na huawei Y300. Basi Masu akatazama list ya watu waliompigia simu wakiulizia simu kama ambazo ameambiwa. Akachukua simu zile na kwenda kuziuza, jioni akarudisha ela kwa mwenye mzigo na cha juu akakichukua yeye.

Lakini kuna simu haikununulika S3. Hivyo Masu akanunua kwa ela yake. Lakini baada ya siku 2 akatokea mtu na kuomba auziwe simu ile na masu akampa, dili lkaisha. Masu Kapigiwa simu na mshikaji mwingine ambae akataka simu na baada ya muda masu akaenda na simu ambayo alikuwa nayo kwa wakati huo ambayo ilkuwa Iphone 4s. Alipofika akaambiwa ingia ndani tucheki simu na kukupa ela yako, masu akaingia.

Wakaicheki basi wakamwambia haya twende nimeridhika nayo, twende sehemu tukachukue hela. Masu akakubali, likawashwa gari safari ikaanza, mpaka Msimbazi polisi akashushwa na kupelekwa ndani, akavuliwa mkanda, viatu, saa, simu na vitu vingine. Baada ya hapo akaambiwa "kumbe kweli wewe ndo mwizi mwizi unaeuza simu za uhalifu eeeh" basi akapigwa makofi kadhaa kisha akapelekwa sero na kuambiwa asubiri achukuliwe maelezo, huko akamkuta mteja wake wa simu ya S3. Saa tisa akaitwa na kuchukuliwa maelezo.

Baada ya maelezo na kusema alikoitoa simu ile ambayo ni S3 akatoa namba za mtu aliyeinunua simu ile. Akapigiwa simu kwa kumtumia Masumbuko lakini hakupatikana na masumbuko alikaa ndani siku mbili, bahati nzuri siku ya tatu alipatikana na kupatikana kwa yule mtu aliyemuuzia simu Masu ndio pona yake. Hapo tukapokea simu kutoka kwa mchizi Masu akitaka tumsaidie kuwaambia ndugu zake wakamtoe." Tulienda Msimbazi polisi centre na kufatilia taratibu za kumtoa.

Tulipofanikiwa ndio akatuambia kumbe ile simu imeporwa katika tukio la uhalifu ambapo aliyeibiwa alikuwa na wenzake na mtu mmoja alichomwa kisu cha bega mara 2 na mkononi mara 1. Na pia kuliibiwa pesa na vitu vingine ikiwemo laptop.

Mpaka sasa jamaa aliyemuuzia Masu simu hapatikani kwa simu na jamaa hajatoka mpaka sasa yupo kituoni.
Onyo:usipende kununua simu au laptop kwa mtu yaani mkononi better uende dukani au uwe na taarifa za kujiridhisha maana hatuwezi zuia kabisa kununua simu mkononi mwa mtu (used ).

Mwenye kuelewa aelewe na apate fundisho. Na asiyetaka kusikia asubiri.
Mi jina lako tu, najenga picha kichwani kuwa utakuwa unafanana na Khadija Koppa au kama dume basi Mzee Yusuph
 
Mi jina lako tu, najenga picha kichwani kuwa utakuwa unafanana na Khadija Koppa au kama dume basi Mzee Yusuph

Ukome. wewe jina lako jini kabisa, tena jini pepo mchafu, jini baya asyetaka mema kwa wanadamu. Hebu jini majinuni nipishe mie
 
Kabla hujanunua kitu cha wizi....jaribu kuuvaa uhusika wa mtu aliyebiwa kwanza.....
 
Ni kweli nami nimeshuhudia matukio mawili, moja ikiwa central ya Mwanza watu wameswekwa rumande mmoja nilisikia ni mwanafunzi wa CBE na lingine ni tukio MUSOMA
 
bongo noma sna kwa nn na ss tusipige za escrow huku juu kama wa hali ya chini tunaminyana namna hiyo.

Ndo maana kunaitwa Bongo...haijalishi unacho fanya..Machievelli anakwambia "the end justifies the means" endelea kuenda taratibu uone kama milioni mia utaiona
 
Aaaah washamba tu hao kwanini asi factory reset au hardreset kila kitu kuleeee tena kwa simu za android ndio simpleeee unachange na imei kabisa life goes on nyie nunueni dukani siye mkononi ,simu ya laki tisa siye tunanunua kwa laki na nusu hahaha

IMEI unaifaham mkuu au unaandika tu?
 
sasa polisi walimpiga makofi ya nini? ndo adhabu au?
 
Back
Top Bottom