mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,369
- 6,532
IMEI unaifaham mkuu au unaandika tu?
Wewe ndie bureee kabisa nitaandikaje kitu ambacho sijui
IMEI unaifaham mkuu au unaandika tu?
Kabla hujanunua kitu cha wizi....jaribu kuuvaa uhusika wa mtu aliyebiwa kwanza.....
Sio bahati... wengine wanauza zikiwa kweli ni mali zao lakini wengine ndo hivyo tena, za kupiga mahali wanakuja nazo JF!du, mi smartphone yangu pamoja na wife nimenunua mkononi tena humu humu jf. may be nina bahati,
Kwani huko dukani ukinunua simu unapewa na mguu........????Hatujazungumzia kununua simu za wizi tunazungumzia kununua simu mkononi mwa mtu haijalishi ya wizi au ni yako
Kwani huko dukani ukinunua simu unapewa na mguu........????
Sio sana......Nahisi mwl wako wa lugha alipata tabu sana
Wewe ndie bureee kabisa nitaandikaje kitu ambacho sijui
unajipigia promo za kishamba