Alinisaliti, shida tunaishi sehemu moja

Alinisaliti, shida tunaishi sehemu moja

aacha kucomplicate maisha, wewe kaa naye muyasuluhishe

uendelee kupikiwa na kufuliwa plus kupunguza ukame, ila tarattibu tafuta mtu wako wa ukweli!
 
Habari za saizi wana jf,nashukuru mungu anaendelea kunisimamia katika maisha yangu.
Naombeni ushauri, nilikua na msichana niliempenda sana lakini ilifika kipindi akanicheat offcoz niliumia sana tuligombana kufikia kuachana ila mbaya zaid bado tunaishi nyumba moja ya kupanga ila kila mtu na chumba chake.
Inaniumiza ninaposikia sauti yake ninapomuona kila wakati moyo wangu unasononeka sana. Sijui hata nifanyaje na jinsi maisha yalivyo magumu nimetafuta sehem nyingine ya kuishi ila nimekosa. Kwa sasa nimeamua kushinda kwa washkaji cku nzima narudi ucku geto ilimradi tu nipunguze ile hali ya kumsikia na kumuona kila wakati
Kwanini ujitese bwana kama vipi mrudie tu hakuna namna
 
Unashinda2 kwawashkaji unamaanisha huna shuuri yakukufanya uwe bize ili umsahau
 
polee sana mkuu cz hilo jambo halitakuchua mda mfupi kuisha litachukua mda mrefu..ila tu jaribu kujikeep bzy na shughul zako..pia toa kila kumbukumbu yake kwako cjui pic cjui vi nn chochote chenye kukupa kumbukumbu itakusaidia ..ila elewa tu hilo ttz halitaisha kwa mda mfup itachukua muda kuisha..
 
Duniani ,kuna mtu msafi asiye na kosa akawa msafi daima?? kama hakuna, heshima inajirudia pale yanapotokea makosa na kusamehe na kusonga mbele maana nawe siku utafanya makosa yako, utabeba mzigo wa kukasirika mpaka lini au mpaka uhame hapo?? Wagombanao ndio wapatanao kaza buti usonge mbele huyo bibie ni wako kaka.
 
wachana na wapuuzi wote hawa wanakwambia uwe busy....wana ubusy gani kuliko clinton aliyemgegeda lewinsky.
mwanawane wewe fuata ushauri wangu wala usicheze mbali kuwa hapo unasalimiana nae eventually nakwambia utamla tuu. majinamke mbona ni kama nyumbu tuu...
 
Kua mwanaume ikiwezekana hama badilishana na hao Jamaa zake maana inakera sana hiyo kitu na ni ngumu kuachana ktk mazingira hayo .

Mwishoni utajikuta unaendelea kugonga ngozi kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom