Alinisaliti, shida tunaishi sehemu moja

Alinisaliti, shida tunaishi sehemu moja

mtu akiamua kujitesa mwenyewe kupata msaada ni taabu. acha fikira hasi.
Fikiria kuwa na yeye anateseka mara mbili zaidi kuliko wewe akikuona au kusikia sauti yako - labda hili litakupa faraja na hutaona dhiki
Ni kwel ila ni vigumu sana kuusemea moyo wa mtu
 
Pole sana mkuu ila njia moja ya kukabiliana na tatizo ni kuliface, kwa maana kwamba kama ni mtu kila ukimuona anakuumiza basi ni vizuri ukiwa unamuona mara kwa mara hiyo itakujengea kuanza kuzoea ile hali ni kama (immunity)kwa hiyo inakufanya uone kawaida kadri siku zinavyokwenda(lakini huku ukijiambia moyoni kuwa maisha lazima yasonge bila yeye nahaya hayana budi kutokea).
Basi utajikuta tu anatoka moyoni taratibu,maana hata ukihama ipo siku utakutana nae.
Kila la kheri.
 
Aisee we jamaa umenikumbusha mbalii kipindi icho nikiwa kijana bado nilikua na mausiano na manzi tuliyepanga nae nyumba moja situgombana kama wewe kwa akili zangu za kipindi icho nikawa kila wakati naimport manzi mpya sasa iyo miliyo yao ndo ilikua balaa na tulikua tumepakana vyumba mbona aliomba msamaa mwenyewe!
Haaa haaaa haaaa nacheka kama mazuri.
Sema umemkuta huyo msichana mpole ingekuwa mimi ningekufurahisha yani mpka ungejiona namna gani vipi,maana bati ningekulia usingekaa uamini.
 
Ngoja siku apate mwanaume mwingine awe anakuja nae wanagongana weeee usiku kucha, utamsahau kirahisi tu
 
Ahsante, ila c unajua moyo ukipenda
Ndio moyo unapenda! Yaani na mimi yalinikuta, huyu jirani msumbufu vibaya! Tumeachana lakini bado ananifuatilia. Akisikia tu nna mgeni aiku hiyo lazima anitafute ata kama ni sa saba usiku. Yaani mpaka natamani kumuitia polisi sababu ishakua kero.
 
Habari za saizi wana jf,nashukuru mungu anaendelea kunisimamia katika maisha yangu.
Naombeni ushauri, nilikua na msichana niliempenda sana lakini ilifika kipindi akanicheat offcoz niliumia sana tuligombana kufikia kuachana ila mbaya zaid bado tunaishi nyumba moja ya kupanga ila kila mtu na chumba chake.
Inaniumiza ninaposikia sauti yake ninapomuona kila wakati moyo wangu unasononeka sana. Sijui hata nifanyaje na jinsi maisha yalivyo magumu nimetafuta sehem nyingine ya kuishi ila nimekosa. Kwa sasa nimeamua kushinda kwa washkaji cku nzima narudi ucku geto ilimradi tu nipunguze ile hali ya kumsikia na kumuona kila wakati

NILIJUA TU,

KITENDO CHA FORM TWO KUMALIZA MITIHANI YENU WIKI HII
JF HAKUTAKUWA NA MADA ZA MAANA TENA MPAKA MTAKAPOFUNGUA SHULE.
 
Sasa siku ukimuona analeta mshikaji geto sindo utakufa kabisa? Tafuta jinsi yoyote uhame hapo
 

NILIJUA TU,

KITENDO CHA FORM TWO KUMALIZA MITIHANI YENU WIKI HII
JF HAKUTAKUWA NA MADA ZA MAANA TENA MPAKA MTAKAPOFUNGUA SHULE.
Wewe ni fala kama unataka mada za maana huku kwenye mahusiano na urafiki unatafuta nini, tuheshimiane hiyo form 2 ulinifanyia wewe mtihani..???
 
Kipangishe chumba chako, akili yako itajiongeza kutafuta makazi mapya
 
Pole sana mkuu, tafuta kitu cha kufanya, maana unaonekana huna kazi unabaki kushinda kwa washikaji, kodi ya nyumba na kula unawezaje? Ndio maana mwenzako alikuona wa nini kuwa na mwanaume suruali.
Kwan anauza nn huyo mwanamke?
Mwana FA ft Vanessa Mdee-Mwanaume suruali
 
Mletee chombo kikali zaidi yake tena akione,siku mbili tu lazima arudi mwenyew
 
yaani uliamua kumuacha sasa nini kinakupa kieleele cha kumpenda tena kuwa na Moyo wa kiume ukifanya mzaha utatabika sana kwenye mapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom