Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Pole sana Mkuu, she was a very special lady in so many ways and she left you with very special kids to take care for the rest of your life. Mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uweze kuwatunza watoto hao hadi waweze kusimama kwa miguu yao wenyewe.

Mkuu BAK this is the best only being am missing in my life, kila nikiwa gym hua namkumbuka, she use to tell me tukiwa gym.... "Man, u don't stop when you are tired,u stop when you finish all your reps"
Let her rest in peace
 
Wewe Vale ujue iko siku nitajinyonga kwa ajili ya wewe kunipotezea kila nikirusha nyavu,yaani holaaa holaaa holaaaaa,na Karumanzira anazidi kula pesa zangu na mabadiliko sioni.
Hizo nyavu zako ambatanisha na muamala wa mpesa hebu
 
safi sana mkuu,namna ulivoandika inaonyosha ukomavu uliotukuka na upeo wa hali ya juu uliokuwa nao wakati wa kukabiliana na dhoruba iliyokukumba sio kama wajinga wengine ati wanakimbiliaga kuua. na zaidi hapo ulivoifuta namba yake duh tungekuwa tuko watu 5 kati ya mia kama ww(na mimi nimoo) hii nchi ingekuwa mbali sana hii sio kulialia tuu na kulepa upopoma wa kukumbushia!
Mkuu sijui kwanini ila umenifurahisha sana usiku huu
 
hahahahaha what an idiot.......wewe mwanamke kawadanganya wazazi wake kuwa anaishi na rafiki yake ndio ashindwe kukudanganya wewe kuwa analiwa papuchi na wanaume wengine. u really had unrealistic expectations brother.
 
14470527_1019260254838925_7228679891874881038_n.jpg
 
Pole sana Mkuu, she was a very special lady in so many ways and she left you with very special kids to take care for the rest of your life. Mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uweze kuwatunza watoto hao hadi waweze kusimama kwa miguu yao wenyewe.
Ndo kila nachokiwaza kila Asubuhi nikiamka,hawa watoto. And yes,she was special indeed
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu nemo,here we go Again!! There is no way I can justify what i did,, but at least had to get even!!! Kumuharibia utu??? Cmon cut Me some slack, sleeping around miezi miwili pre marriage yani Huyo MTU ana utu kweli??? Eway I had two options
a)ruin myself and become a drunkass destroying my career all along as I continue trying make her happy
b)do what I did


Sadly I'd go with option b) anytime of the day
I am all for survival of the fittest.You were hurt, you lashed out, served her "a cold dish", life goes on. As you can see, since my initial comment, there is no direct criticism from my end to yourself. I just have a problem with her reaction hiyo j'mosi ....................Grrrggg Sorry man, I just can't stand stup**, weak or desperate women.
 
Umenipotezea muda wangu maana nilikuwa nasoma kwa kasi kufikia revenge.
 
Mkuu sijui kwanini ila umenifurahisha sana usiku huu
amani iwe nawe mkuu. watu wanaotake time na kufikiri kila liwatokeapo jambo siku zote huwa wanamaliza vizuri sana tena bila bugudha. unajua ukikurupuka hata malaika wako hawawezi kukupa msaada na ndo maana unakuta wengine wanaishia jela kwa kuwa wamekurupuka kulipiza kwa ghafla kwa kutumia nguvu nyiingi. Me nasemaga siku zoote mtu akinionyesha trailer me natulia nakaa chini naandaa movie kamili hata kwa miaka kadhaa ilimradi ikamilike tuu.
Kwa sasa watoto wako ndo zawadi pekee mkuu Mungu keshakujaalia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom