Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Mkuu mimi sio mdau, alafu nyinyi kama ma great thinker mnashindwa vipi kung'amua kua nlimuacha kipindi kibaya, harusi na pia hii vacation ilimuaminisha kua mapenzi yamerudi upya. + I wrote her a note kumwambia I'll be away and we're done.
Sasa hio ndio revenge naona wadau mmekomalia tGo tu
 
[emoji52] story kama hizi zinakatisha tamaa ya kuoa bora utafute watoto utulie tu
 
acha tu ngoja na mimi nikifanikiwa kulipiza nitaleta majumuisho kama huyu mdau
Kuwa makini unaweza kuwaza kulipiza ikawa tofauti kama umekubali yaishe achana nayo na maisha yanaendelea usirudi nyuma hukufanya revenge wakati huo unataka kufanya baada
 
"..wanasema usipende kupitiliza.."

unadhani KUPENDA ni chai ile kwamba ujaze kikombe au uweke nusu..!! LOL..

BY HOW MUCH LOVE CONQUER YOUR HEART...
IT'S BEYOND YOUR SCOPE..!!!!!!! brother..
Sikiza mdogo wangu sivyo unavyo elewa. " Usipende Kupitiliza " meaning usimpe mtu moyo wako kiasi kwamba akawa na access to ur inner feelings and emotions na kuzi manipulate to her advantage, have room for urself cz u love urself more.

Its an emotional thing watoto hamwez elewa. [emoji23][emoji23]
 

Vp kifo cha huyo aliyekuzalia mapacha kilisababishwa na pombe
 
Ndio walimwengu mkuu kila kukicha hawatosheki
Ke na Me tuna matatizo wote Ke hawajui Me wanataka nini halikadhalika Me hawajui Ke wanataka nini!!! Tumebaki kulaumiana tu.....ule mstari Mungu aliosema Me waishi kwa akili na Ke sijui alimaanisha nini[emoji56] [emoji22]
 
Sio kukomali nimeuliza mkuu kuwa na amani......kuna wengi anasema ukifanya hivyo huwezi acha kama umefanikiwa kutokuendelea unathibitishia watu kwamba ni kitu kinawezekana kuachwa
 
Acha kuidhulumu nafsi yako wewe unahitaji mwanamke wakukupenda umpende hata kama una miaka 50. Haya maisha ndo haya haya hajazaliwa peke yake.
Mkuu nakuelewa lakini maumivu nliyopata sihitaji kuyapata tena
 
Mmh hamna kitu kizuri kama kusamehe ili kupata amani ya moyo....ukishindwa kusamehe hutakua na amani always na hutaweza sahau
 
Reactions: BAK
Katika maisha huwezi kupata kila kitu, ndio maana kuna kitu inaitwa "kuridhika".
Kwahiyo kwa muda wooote huo alokuwa nae alikuwa hamridhishi? Au hakuweza kumridhisha kwakuwa sasa yupo sehemu nzuri? Asiye wa kuridhika sio wa kuridhika tu hata sio wa kutafuta visingizio.

Na kama huridhishwi si uongee na mpenzi wako mueleze akufanyie nini ili uridhike.
Cheeeeeh!!!

Kuchepuka hakuna justification ni uma.....ya tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…