Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,671
Hayajakukuta, yakikukuta yawezekana ukafanya zaid ya kuruka ukutaMhhh...,!! Nakupa pole ingawaje pia najua hustahili hiyo pole..!! Kisasi siku zote sio suluhisho la matatizo..! Tena hicho chako cha "kuruka ukuta"... Mmmh moyo huo sina, ingawa wanaume wenzangu wengi mtapingana nami..!!
Madam B,Aisee.
Wanawake na sisi tunapenda sana kuliwa Tigo.
Yaani mwezi mzima unamdukua tu.
Ila nasikia mwanaume ukianza huachi....
Hayajakukuta, yakikukuta yawezekana ukafanya zaid ya kuruka ukuta
Wewe ni wa dini ile eeh?Ukishindwa kusamehe,lipiza kisasi tu. Dunia haina usawa.
Pole mkuu
Ila kuruka ukuta dar
Bora ungemfanyia kitu kingine
Ni wanaume wengi sana vijana wa sikuhizi wana wazo na maamuzi kama haya yako.Her ukawa single family kama umepata Watoto kuliko kuish na hawa viumbe,yaan ni taabu tupu mkuu,wamenifanya wazo la kuoa limetoweka japo nna katoto mpaka naona ni her kuwapata Watoto hata kwa Wanawake wengine lakin siyo kuoa,japo namset niliyezaa naye anizalie tena il kuepusha Watoto wa Mama tofaut tofaut
Copy and paste,trust me.
Ahsante mkuuNi wanaume wengi sana vijana wa sikuhizi wana wazo na maamuzi kama haya yako.
Nafikiri ni kukata tamaa kulingana na jinsi wanawake wengi walivyo.
Pole chief,
Hahah wanaume bana samehe and move on,unaweza dhani unamkomesha mtu but in reality unajikomesha mwenyewe kwa kushindwa kujipa nafasi nyingine ya kufurahia mapenzi kwa kuogopa usaliti...Pole sana Mkuu
Nilitendwa mara moja, nikawa bingwa wa kutenda mpk sasa sina uhusiano am a free men
Hahah wanaume bana samehe and move on,unaweza dhani unamkomesha mtu but in reality unajikomesha mwenyewe kwa kushindwa kujipa nafasi nyingine ya kufurahia mapenzi kwa kuogopa usaliti...
Mtoa mada eti nlichomfanyia hatonisahau wakati dada wa watu kanenepeana hana habari naee ue ndo anakufa na kihoro na presha na kuleta uzi hapa
Umesema vizuri mdada, tunapumzika na stress,sio kwamba sitafuni papuna LadyRed,zinatafunika tu lkn hakuna userious mpk pale nikiamua.Hahah wanaume bana samehe and move on,unaweza dhani unamkomesha mtu but in reality unajikomesha mwenyewe kwa kushindwa kujipa nafasi nyingine ya kufurahia mapenzi kwa kuogopa usaliti...
Mtoa mada eti nlichomfanyia hatonisahau wakati dada wa watu kanenepeana hana habari naee ue ndo anakufa na kihoro na presha na kuleta uzi hapa
Ata wanaume 100%hawaliziki tumepisha 5%.wanawake wote au by 95% hawaridhiki,eleweki hovyo kabisa....