ivyo sivyo vp tena ndugu???Pole shem wangu. Nakufahamu na hii story naifahamu pia. Ingawa na wewe ndivyo sivyo.
am looking forward, not to die tho .lol, but to learn.siku nikielezea story yangu humu mtakufa wote.kuna watu wanyama jamani acheni tu .ila nimemuachia Mungu tu
(just thot i cud fill in the blank.lol)It ain't about being Beyonce or anything, but rather taking a leaf out of your book. Sir, you noticed her first, so i'll say between the two of you , you're "prolly" the one who is still............hurting......................
Hii post ya mwaka jana wangu...wifi yupo na mr wake wanakula lahaa.Nd
ivyo sivyo vp tena ndugu???
very true, coz at the end of the day asiposamehe ni watoto wake watapata malezi kama hatawataftia step mom (or wakakue na bibi yao, idk.), asamehe tuu maisha yaendelee... kama hakuwa ridhiki yako hata ungepinduka kumpa nini isingekuwa tuu.Pole sana sanaa, lkn pia wapaswa kutubu dhambi ya kuruka ukuta ndugu yetu, pia usamehe na usonge mbele, tayari una watoto wadogo na ww ni binadamu je haja zako unazitolea wapi? km ni eat and run unajiweka kwenye hatari zaidi dunia imekuwa si nzuri sana, samehe ili maisha yaendelee, wengi sana tumetendwa lkn tumesahau na maisha yanasonga, kila kinachotokea duniani kimepangwa na Mungu japo shetani pia hutenda kazi yake,ukiona hivyo ujue yule hakuwa ubavu wako
Mshukuru Mungu kwa kila kitu
Kabisaaa dearvery true, coz at the end of the day asiposamehe ni watoto wake watapata malezi kama hatawataftia step mom (or wakakue na bibi yao, idk.), asamehe tuu maisha yaendelee... kama hakuwa ridhiki yako hata ungepinduka kumpa nini isingekuwa tuu.
Niiiiiiiiiiiiice 😛(just thot i cud fill in the blank.lol)
aisee hii siri ya jeshi imenichekesha.Hii ni siri ya jeshi
wanawake wote by 95% hawaridhiki,eleweki hovyo kabisa....
Ooooh so walirudiana sio wangu...jambo jema auseeHii post ya mwaka jana wangu...wifi yupo na mr wake wanakula lahaa.
Ah kwa hyo kumbe zile zilikuwa ni fix tu??? Kwamba ulimwacha boy wako ukadate na baba yake halaf ukamzalia na mtotosijazaa bado ndo mana sielewi
Chezea ajila siyo love wangu. Mchana kweupeee dogo kaludi tukamtwisha wifi azae naye.[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ooooh so walirudiana sio wangu...jambo jema ausee
sikuzaaAh kwa hyo kumbe zile zilikuwa ni fix tu??? Kwamba ulimwacha boy wako ukadate na baba yake halaf ukamzalia na mtoto
poasikuzaa