Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Duh.., sasa ulienda kumpa Hi ili iweje?
Ungemkaushia tu ingekuwa poa zaidi!
Mkuu naomba kueleweka,sina kinyongo tena na nlishayasahau, ila kwa sasa sihitaji awe kwenye maisha yangu kwa namna yoyote ile ndo maana nilifuta hata mawasiliano aliyonipa hio jumamosi, lakini tukikutana kwa bahati mbaya siwezi kumnyima a hug or a five minute chat. That's all I can offer, hii inaonyesha maturity!! Mimi ni MTU mzima na sidhani kama itakua njia sahihi 'kumkaushia' MTU ninayefahamiana nae no matter the circumstances!!! But then again,that's just me!
 
Wanawake wanapenda ndoa lakini hawawapendi wanaowaoa lakini wanaume hawapendi ndoa lakini wanapenda wanawake....nawapenda wanawake kama mama zangu na wanaume kama baba zangu hao wengine upuuzi mtupu
 
Sasa wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Hakuna usaliti hapo. Wote nyie mlikuwa waasherati, kwani mlikuwa mmeoana?

Halafu ujuwe una uhaba wa nguvu za kiume ndiyo maana akawa analiwa, hukumtosheleza.
Kutomtosheleza pia inawezekana mkuu(sadly am too old to brag about sexual capabilities)
Ila kama kutotoshelezwa ndio chanzo cha usaliti mkuu, na ukifatilia kwa sasa katika mahusiano 10 unakuta 8/10 yana usaliti,kwa nantiki yako ni kwamba
Karibia 80% ya wanaume hawana nguvu za kiume?????

Nguvu za kiume inaweza kua moja wapo ya sababu za usaliti ila sidhani kama ndio sababu pekee ya usaliti, that being said, I expected someone of your calibre to understand this more.

Well, I was wrong.
 
Labda hukuwa unamfikisha ndo sababu kaamua kutafuta ukuni wa unaoweza kuivisha chakula barabara.
 
Mh mapenz wee.... Cku hz nna msemo mmoja tu ukishkwa shkamana
 
witnessj, hebu msikilize Valentina hapa... usinibanie!!!

Acha habari zako bhana... Valentina kanielewa... tena sana tu! Hapa hakuna cha Diamond wala ThabeetNamshangaa anavyojishobodoa na kujifanya hanielewi... sijui wa wapi huyu msichana!!
Witnessj usimbanie kaka yangu bwana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
usiombe ukutane na ukurasa wenye watu hata 5 waliomjibu 2017 kwa kumQuote hiyo story yake..

Hapo ndio utajua kuScroll ni raha..[emoji2]
Kuna watu sio waelewa kweli yaani, sijui kwann mtu anaquote uzi mreeeefu, kwani akicomment tu comment haionekani!!!
 
anora its better na ww utushirikishe wht happened to u? it seem now days relationship ni changamoto saaaaana,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…