Aliniomba mtoto sasa kanigeuka

Aliniomba mtoto sasa kanigeuka

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,587
Reaction score
466
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.

Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.

Je, nifanyeje kuepuka hili?
 
Kwani alipokuomba mtoto wana JF walikushauri nini mpaka urudi leo. Ongeza kula samaki na mboga za majani maana unalia kama una miaka 14
 
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.

Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.

Je, nifanyeje kuepuka hili?

bro-for-real_zpsa8cdedd1.jpg
 
Ha ha ha ha, at 25yrs? May be...
Mzalishe mwingine ili watoto wajilunguje afu kaoe kwingine. Katoto kamoja kanatia ukichaa

USIMWOE PERIOD!
 
ha ha ha ah we ulikosea angetakiwa kukulipa kwa kumpa mbegu.. sasa unatoa mbegu bure tu basi oa
 
Mwanamke anayetafuta mbegu hasemagi,ikishanasa anaweza akakuacha ukishangaa au anakuruhusu uchague kuendelea kuwepo au uondoke.
 
hahaha mjomba lililokukuta wew na mimi hayatofautian kabisaaaaaaaa pole ndug.wasichana ndo mitego yaoooo hyooo..
 
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.

Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.

Je, nifanyeje kuepuka hili?
CC Sky Eclat
 
Last edited by a moderator:
Ushauri jamani wana jf, Mimi nina Dada mmoja ambaye aliomba nimpatie mtoto kutokana na umri wake kukwea coz yeye ana miaka 39 namm 25 it means ananizidi 15 kiumri.

Awali nilisita kufanya hivyo ila kanibembeleza hadi tuka fanya mapenzi hatimaye ujauzito sasa leo hii amenigeuka kuwa nimuoe wakati makubaliano yetu ilikuwa nimpatie mtoto,.

Je, nifanyeje kuepuka hili?

Mbona unalialia? Kwani wewe ulikuwa umejipangaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom