Nimependa mawazo yako bidadakama wanawake wameisha bora umuwowe lakini kama bado wapo(wanaojitambua) ni maramia umwache aende zake,huyu shetani hafi mpaka kiama so ujiandae tena shetani akimpitia ukubaliane na matokeo.
kama wanawake wameisha bora umuwowe lakini kama bado wapo(wanaojitambua) ni maramia umwache aende zake,huyu shetani hafi mpaka kiama so ujiandae tena shetani akimpitia ukubaliane na matokeo.
ilikuwa mwaka 2009 nikawa A-level msichana niliyekuwa nimempanda sana na kumwahidi kumwoa mara baada ya kumaliza shule yeye akiwa amehitimu kidato cha nne na kupata DVN 4 ya 26 tukiwa tumekubaliane aende chuo cha certificate akasome kwa ustawi wa maisha yetu ya baadae lkn kilichotokea ni kwamba yule binti aliingiwa na tamaa na kuamua kuolewa na mwanamme mwingine bila hata kunijulisha niliumia sana lkn nikasonga mbele baada ya miaka 3 yule dada kaachika kwa huyo bwanake na kaamua kwenda college na alizaa mtoto mmoja sasa ananishawishi nimuuoe nakusema kwamba yule hakuwa chaguo lake nakwamba ni matokeo ya shetani sasa nifanyeje wadau

mps habari za mbeya, au siku umeama? dah wewe nakushauri uendelee na maisha tu,achana na mjanja mjanja