Alinikimbia.... anapiga goti.

Katika kitu ninachopinga kwenye mahusiano ni hii mambo mpaka tuoane ndo to do.Haya ndo maumivu yake sasa ungem do hata usingefikiria hapa

Ila mafundisho ya dini yanatukataza ku do kabla ya ndoa.
 
Mkuu OGOPA SANA kula chakula kilchoshnda jana, HAKIKA NI SUMU kubwa kumrudia huyo dd!Maisha ni golden chance,msamehe mtreat as aza dents bt usirudiane nae kamwe utajuta badae!Hlo ltakua somo kwake na kwa jamii, USIONGOZWE NA HISIA!Busara muhm hapo
 
i
Nilikuwa naye kwa miaka 4 kipindi tukiwa masomoni yy secondary mm University miaka kadhaa nyuma. Hatukuwai kufanya sex kwa makubaliano hadi aitimu masomo yake kwani hakuwa amewai kuduu kwa kuwa nilimpenda sana tulifanya kila kitu isipokuwa sex inshort i was crazy on her, kwa kipindi hicho tulikuwa tukionana wakati wa likizo tu alionyesha dhahiri kunipenda kwani ndugu zake Mama yake dada zake na kaka zake wote walinifahamu hili lilinifanya nimuamini zaidi.

Ajabu mara tu baada ya mm kuitim kwani na yy ndo alikuwa kaitimu nilimwambia kabla ya lolote inabidi tukacheki afya zetu kwa usalama zaidi hapo ndo ikawa chanzo kwani alikataa kwa kigezo cha kwamba yy hajawi kudoo hivyo yuko salama ama otherwise nisubiri amalize chuo kama utani akaanza kutopokea simu zangu hadi kufikia hatua ya kuwa anakata, niliumia zaidi ya maelezo. Nikaongea na ndugu zake pamoja na mama yake ili wasaidie kumweka sawa ikashindikana at last nikagive up na maisha yakaendelea but behind the scene nikapata taarifa anatoka na kijana mwingine

Mwaka uliofuata nikapata scholarship ya masomo ulaya kwa hiyo mawasiliano hayakuwepo hata chembe baada ya kurudi kama zali nikapata nafasi ya kuwa assistant lecturer chuo fulani hapa jijini kumbe na yy alikuwa amechaguliwa hicho chuo na yupo mwaka wa 2. kituko 1 day nikaingia kupiga pindi darasa ambalo ndimo na yy alimokuwa i was shocked baada ya kuiona ile sura ikinyanyuka na kutoka nje kisha kurudi muda wote alikuwa amejiinami

Nilivyotoka lecture alinifata na kuomba contact zangu kisha kuomba kuonana nami nilikubali... katika nafsi yangu mapenzi kwake hayapo tena ila naona kuna kitu still sikujitendea haki nilikikosa kutoka kwake na hii hali najaribu kupingana nayo hadi sasa ila nashindwa........ Wekend iliyopita tulikutana na kuzungumza sana ila kikubwa aliniweka wazi kwamba anamzigo mkubwa sana katika nafsi yake hasa akikumbuka alichofanya kwangu anaomba nafasi nyingine walau athibitishe alinipenda sana nimsaidie kutua mzigo alionao{ penzi lake kwangu}

Sikumjibu ila nilimwambia kuna ya kuzungumza zaidi kwani mm nina mpenzi wangu sitaki kumtenda.... eti kadai itakuwa ni siri yetu. Wakuu wenzangu mzigo wa penzi ni mzito mnooo hasa ukiona kuna kitu hakikutimia katika mahusiano husika hadi sasa nawaza na kuwazua what am i supposed 2do, najua humu ndani naweza pata ushauri na nafsi yangu ikapata nafasi ya kujiridhisha.
hiyo sumu kaka kaa mbali kama kweli alikupenda kwa kiasi hicho anachotaka kukuhadithia kwa sasa angelikupa zawadi/heshima ya kuiondoa bikira aliyokuwa anaongopa anayo, maelezo yako yanadhibitisha sio mwaminifu hata punje!!!!!
 
Jamani chipukizi hiyo avtar yako inanivunja mbavu! Kila nikiiangalia naishia kucheka hadi machozi. Looh :lol:! Jf kuna mengi zaidi ya tujuavyo!


Sepa utakuja juta mara ya pili.ana lolote huyo,je asingekuona ingekuaje?mpotezee
 
Jamani chipukizi hiyo avtar yako inanivunja mbavu! Kila nikiiangalia naishia kucheka hadi machozi. Looh :lol:! Jf kuna mengi zaidi ya tujuavyo![/QUOT

Ni Ainu hata kuja kuomba ushauri hapa kuhusiana na hili, hafai.
 
Unadai mwenyewe kuwa hukuweka saini yako qake hivyo unataka kuweka sasa! jibu unalo mwenyewe umekuja huku ili tukupe mwongozo gani? Ukitaka kuweka saini katika ukurasa uliojaa: kazi ni kwako. Ila ilishidwa kuweka saini katika ukurasa mpya kabisa qanini uhangaike kutafuta nafasi ya kusaini katika ukurasa uliojaa? Sina USHAURI

Bazazi ni Bazazi!
 
Back
Top Bottom