The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 972
- 1,069
Ni kweli hakuwa na hisia, ila sasa hivi zimerudi mkuu.Wakuu kwema
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana...
Njoo kuwa inboxemu nielekeze namna ya kuzuia namba mpya kukupigia haraka tafadhali
hapa kuna nini, elezea hapa kwa faida ya wengine kama mimiNjoo kuwa inbox
Soma vizuri alikua ni mpenzi wanguFriend request, sa si wameshaachana amerudi kwako mkuu(jiongeze
Ila bado unampenda mpaka kuanzisha uzi we kubali uutendee moyo wako haki
Alfu nmejiuliza, Ina maana ukimtongoza mtu akikataa mnablokiana?kwani mliwahi date au mligombana nini ndo mblokiane..
Unachekesha wewe
Basihapa kuna nini, elezea hapa kwa faida ya wengine kama mimi
Basi angalia moyo wako , havshaurikiSoma vizuri alikua ni mpenzi wangu
Niamini mimi. Kodi yake ya nyumba inaisha tarehe 30 April. Fuatilia mkuu utakuja kunishkuruWakuu kwema
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina bwana angu nampenda"
"Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye".
Basi bana ikabidi niwe mpole nikakubali yaishe.. nika mblock na yeye akani block kuanzia kwenye namba mpka social network zote .
Kisa Cha kuleta huu Uzi
Nikashangaa ananitumia upya friend request fb akaanza Tena ku ni follow nikakausha ..
Akaanza kunipigia kwa namba mpya nyingi sana wakuu akionba msamaha kuwa alikosea na ananipenda sana miezi miwili imeisha ila amenipigisa saana simu na namba mpya mpaka now simu yangu nimezuia namba mpya ikinipigia hainipati.
Amekua kinganganizi na wakatii Mimi tayari Sha move on..
Mbona ndio mtandao mkubwa kuliko jf maana public figure wote duniani wapo huko,we wa wapi?Hivi kuna watu bado wanatumia Facebook🙄