Alimanusura niuvae mkenge...!

Alimanusura niuvae mkenge...!

Habari wana MMU.....!
Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea,
baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi yahusike mwanangu alivyoacha kunyonya nikamchukua mawasiliano ya mimi na mzazi mwenzangu yalipungua sana,
Mwezi uliopita alianza kulalama sana cause almost one year hatujaonana,
Pia mama yake alikuwa amelazwa nikafunga safari hadi mkoani nikamgegeda mwenyewe, Ila siku ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi nilkuwa safi ila mwenzangu alikuwa ameambukizwa, Ikabidi mimi nirudie kupima cause nilimgegeda dry lakini bado majibu yalikuwa safi watalaam wakanishauri nikae wiki moja nirudi tena, Nlikuwa na wakati mgumu sana ila baada ya kupima tena nilikuwa safi,
huyu mzazi mwenzangu niliamua kuwa nae karibu nimfariji,
Kero sasa nisipompigia simu au nisipopokea simu yake analalama sana kuwa namfanyia hivyo kisa ana VVU, mimi najitahidi kumjali ila wapi nahisi nafsi yangu inaanza kumchukia please my lord hold me ila jamani hi inaudhi sana.......!

Kwanza pole ndugu, tena sana.

Nadhani umejifunza jambo. Kweli mwaka mzima hakuna mawasiliano wewe unafuka na kurukia tuu? Nakushauri ufanye ibada ya shukrani kwa kutoka salama (if at all) na ukiona yafaa sasa, utulie na mmoja kama mkeo.
 
Wakuu mpeni tuu hata moyo maana hayo mnamuongezea tuu stress maana yeye kashajifariji mambo poa sasa story zenu humu ni full kukatisha tamaa mbaya watu8 na HorsePower mpeni moyo kidogo

Mkuu kama ushawahi kwenda kwa washauri wa mambo ya ukimwi...utakubaliana nami kuwa hata kama watakupima na kukuta hauna maambukizi bado watakushauri usubiri miezi 3 ipite...upime tena ndipo ujiridhishe....na ndani ya hiyo miezi 3 yapaswa kucheza salama.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 ni kweli kabisa mkuu na haya mambo yanahitaji moyo
Jamaa sijui alijiamini nini mwaka mzima hamjaonana na hakuna anayejua mwenzake aliishije na ghafla unafika na bila zana anarukia kavu kavu bila hata shield
Hata kama una moyo wa chuma mkuu alipaswa kujiuliza mara mbilimbili kabla ya kurukia na alipaswa pia kujiuliza maswali mbona swala la kupima halikuwepo kabla ya mgegedo wa kavukavu linaletwa baada ya mgegedo kama sio dada alitaka na jamaa aukwae wafe wote
Huyo dada sometime namwona kama muuaji if at all jamaa ataupata ila akitoka salama hapo akatoe sadaka
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 ni kweli kabisa mkuu na haya mambo yanahitaji moyo
Jamaa sijui alijiamini nini mwaka mzima hamjaonana na hakuna anayejua mwenzake aliishije na ghafla unafika na bila zana anarukia kavu kavu bila hata shield
Hata kama una moyo wa chuma mkuu alipaswa kujiuliza mara mbilimbili kabla ya kurukia na alipaswa pia kujiuliza maswali mbona swala la kupima halikuwepo kabla ya mgegedo wa kavukavu linaletwa baada ya mgegedo kama sio dada alitaka na jamaa aukwae wafe wote
Huyo dada sometime namwona kama muuaji if at all jamaa ataupata ila akitoka salama hapo akatoe sadaka
 
Last edited by a moderator:
Hakuna bahati hapo, wiki moja ni "Window Period" kwa VVU! miezi mitatu na zaidi arudi ndipo ajiridhishe!
Otherwise aanze mazoezi, ale vizuri na kupata usingizi wa kutosha among others!


Unabahat sana ndugu. Mungu yuko pamoja na wew
 
shenz type!!! wewe bidada anataka kumuua bado waendelea na mawasiliano mie ngefungua kesi kabisa.

alafu wee nabwana mwa mke yoyote yule anayemuacha mtoto akalelewe na baba huyo sio mwanamke ni malaya tuu. kha jamani somethings are simple common sense. acheni genye za kijinga
 
Ila siku
ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi
nilkuwa safi ila mwenzangu
alikuwa ameambukizwa, Ikabidi
mimi nirudie kupima cause
nilimgegeda dry lakini bado
majibu yalikuwa safi watalaam wakanishauri nikae wiki moja
nirudi tena, virus havionekani ndani ya siku 2 subiri hadi miezi mitatu.
 
Hivi si wanasema kutahiriwa kunapunguza uwezekano wa maambukizi kwa 60%?

Mimi naamini hujapata maambukizi, na mshukuru mdada aliyekulazimisha mkapime, now that you know her status be brave about it.

Ukimchunia, maambukizi hayatakoma huenda isiwe kwako lkn nina imani hatawaambia wanaume wengine status yake kwa kuhofia kukataliwa. So wahanga watakaofuatia watakuwa wengi, na kwa chain hiyo same vírus from her might come back to you or your love ones
Kuna rafiki yangu yuko south Africa, she is positive na ameolewa na non positive man last february.
 
ki2 ambacho sijakielewa
SWALI:jamaa alvyofka mkoan usiku huo huo ndo alfanya mapenz au mwanmke almwambia wakapme kwanza?
 
Subiri miezi mitatu ndipo ujiridhishe....unless sijaelewa vizuri hizo time frames.

They always say...incubation period of HIV ni at least three months...

Sijui kama wenzangu mmeelewa mtirirko wa muda hapo juu...

Mkuu hata mimi nimeelewa jinsi ulivyoelewa, na inaonesha huyo Mdada alifahamu kuhusu Afya yake ndo maana akamlazimisha Mdau wakapime day after sex....

Kwa hivyo huyu Jamaa akapime baada ya miezi mitatu kupita ili ajiridhishe zaidi, ila nilichokiona hapa ni mtu kuambukizwa Ukimwi kwa makusudi....

Sad indeed
 
Back
Top Bottom