Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,886
- 55,786
Baada ya tamu ya mgegedo ndio unakuja kuomba tukushauri, can this be helpful?
Habari wana MMU.....!
Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea,
baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi yahusike mwanangu alivyoacha kunyonya nikamchukua mawasiliano ya mimi na mzazi mwenzangu yalipungua sana,
Mwezi uliopita alianza kulalama sana cause almost one year hatujaonana,
Pia mama yake alikuwa amelazwa nikafunga safari hadi mkoani nikamgegeda mwenyewe, Ila siku ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi nilkuwa safi ila mwenzangu alikuwa ameambukizwa, Ikabidi mimi nirudie kupima cause nilimgegeda dry lakini bado majibu yalikuwa safi watalaam wakanishauri nikae wiki moja nirudi tena, Nlikuwa na wakati mgumu sana ila baada ya kupima tena nilikuwa safi,
huyu mzazi mwenzangu niliamua kuwa nae karibu nimfariji,
Kero sasa nisipompigia simu au nisipopokea simu yake analalama sana kuwa namfanyia hivyo kisa ana VVU, mimi najitahidi kumjali ila wapi nahisi nafsi yangu inaanza kumchukia please my lord hold me ila jamani hi inaudhi sana.......!

duu humu ndani watuwanakatisha tamaa sana jamaa anaweza akanywa tindikali
bora usingeleta hili swala lako hapa maana unaongeza stress tu...inabidi upime baada ya miezi 3 ndo ujiridhishe...
Ndio kifaa nilichokitumia baada ya hiyo wiki moja wanasema ni digital sijui jina lake halisi ila kinaonyesha virus hata baada ya siku tatu toka waingie mwilini,Window period ya HIV ni miezi mitatu unless umepima kwa kutumia ELISA (antigen detection). Kapime baada ya miezi mitatu then utuletee majibu yako kama ulivyoyaleta haya.
Habari wana MMU.....!
Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea,
baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi yahusike mwanangu alivyoacha kunyonya nikamchukua mawasiliano ya mimi na mzazi mwenzangu yalipungua sana,
Mwezi uliopita alianza kulalama sana cause almost one year hatujaonana,
Pia mama yake alikuwa amelazwa nikafunga safari hadi mkoani nikamgegeda mwenyewe, Ila siku ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi nilkuwa safi ila mwenzangu alikuwa ameambukizwa, Ikabidi mimi nirudie kupima cause nilimgegeda dry lakini bado majibu yalikuwa safi watalaam wakanishauri nikae wiki moja nirudi tena, Nlikuwa na wakati mgumu sana ila baada ya kupima tena nilikuwa safi,
huyu mzazi mwenzangu niliamua kuwa nae karibu nimfariji,
Kero sasa nisipompigia simu au nisipopokea simu yake analalama sana kuwa namfanyia hivyo kisa ana VVU, mimi najitahidi kumjali ila wapi nahisi nafsi yangu inaanza kumchukia please my lord hold me ila jamani hi inaudhi sana.......!
Subiri miezi mitatu ndipo ujiridhishe....unless sijaelewa vizuri hizo time frames.
They always say...incubation period of HIV ni at least three months...