Alikuwa maarufu Dar

Alikuwa maarufu Dar

Alikuwa anampandisha kwenye treni
hakika matonya alisumbua na ingekua kipindi hiki cha social network umaarufu wake ungekua maradufu. Na angepata watetezi wengi kwani ana haki kuishi na kutembea popote ndani na nje ya nchi bila kuvunja sheria
 
Yusuph makamba alikua anamkamata anampeleka adi ubungo stand ya mkoa anampakia kwenye shabib kuelekea Dodoma asubuhi anasikia matonya Yuko posta anaomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom