Alikuwa maarufu Dar

GOKILI

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
625
435
FB_IMG_1591534533974.jpg
 
RC wa zamani wa DSM, Luteni Makamba alichemka hapo, kila akifukuza baada ya siku mbili amerudi
 
Yusuph makamba alikua anamkamata anampeleka adi ubungo stand ya mkoa anampakia kwenye shabib kuelekea Dodoma asubuhi anasikia matonya Yuko posta anaomba
 
Alikua ombaomba maarufu adi mbao za magazeti zinapambwa na habari zake nakumbuka enzi hizo kulikua na gazeti linaitwa alasiri lilikua linatoka kila Siku alasiri front Page ilikua ni habari za matonya na makamba
 
Yusuph makamba alikua anamkamata anampeleka adi ubungo stand ya mkoa anampakia kwenye shabib kuelekea Dodoma asubuhi anasikia matonya Yuko posta anaomba
Ahahahaaaaa Matonya alikuwa mtata sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom