Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,406
- 10,535
- Thread starter
- #61
Hamna..Au umekosea nyumba mzee, ukute umekosea nyumba umenda nyumba ya watu wengine
Halafu mbona unaniita mzee?
Hamna..Au umekosea nyumba mzee, ukute umekosea nyumba umenda nyumba ya watu wengine
Uko sawa wewe??Acha uongo wewe dada. Kwa nn unadanganya watu.Yule kijana yupo na alitembea na wewe muda wote huo.Kama unataka kumuona nitakusaida ila ni mgonjwa sana nicheki
AsantePole mkuu
SikukoseaInawezekana umekosea nyumba
HeeBasi kama hivyo ikifika usiku wa saa sita kaa kitako kitandani mwite kwa jina lake atakuja, kesho uje utupe feedback
Acha kukompliket nimekuitaje, anyway usicompliacate jina,Hamna..
Halafu mbona unaniita mzee?
Soma vizuriUmesema ni mwaka umepita sasa
HujaelewaAcha kukompliket nimekuitaje, anyway usicompliacate jina,
wewe unashida nahisi umepoteza kumbukumbu hujijui, chuo si alikua na marafiki wewe si ulimkuta chuo sasa aweje kuwa sio binadamu wa kawaida
Hujaelewa
Pole sana dada, huo unaitwa ulimwengu wa giza, hakuwa binadamu wa kawaida huyo
Unaweza kuishi mahala kwa zaidi ya miaka mitano na nyumba ni yenu mmejenga.unaishi na wazazi wako na wadogo zako wengi tu ila siku mtu akina mtaani anawaulizia hata nyumba zinazopakana wanasema hawajawahi kuishi watu hao hapo?Acha kukompliket nimekuitaje, anyway usicompliacate jina,
wewe unashida nahisi umepoteza kumbukumbu hujijui, chuo si alikua na marafiki wewe si ulimkuta chuo sasa aweje kuwa sio binadamu wa kawaida
Nimempa mtu baadhi vyenye maana
Vitabu nimetupa
But hata vitabu vyenyewe na picha havitoki.
Ishu sio vitu.ishu ni yeye
Au mpenzi wa kwanza maishani ndo anakuwaga hivi?
But how alienda mpaka sehemu anapoishi, yalikua mazingaombwePole sana dada, huo unaitwa ulimwengu wa giza, hakuwa binadamu wa kawaida huyo
Sijawahi.nlimjua ndugu tu na jiraniAlipokosea namba si alikua chuo alipotuma kimakosa kwako msg, sasa mpaka unaenda kwao hukuwahi juwa marafiki zake chuo?
HapanaMmh vip ndotoni hakuijii?
Pole, hebu nikuulize kitu je tangu mlijuana je hamkuwahi shiriki mambo ya kimwili?Unaweza kuishi mahala kwa zaidi ya miaka mitano na nyumba ni yenu mmejenga.unaishi na wazazi wako na wadogo zako wengi tu ila siku mtu akina mtaani anawaulizia hata nyumba zinazopakana wanasema hawajawahi kuishi watu hao hapo?
Wadogo zako qanasoma shule za Kara maeneo hayohayo bado watu hawawajui.
Hapana.hatukuwahiPole, hebu nikuulize kitu je tangu mlijuana je hamkuwahi shiriki mambo ya kimwili?
NakaziaKuna uwezekano mkubwa sana ulisahau ukachanganya nyumba. Kuna baadhi ya mitaa imefanana sana