Alikuwa binadamu kweli?

Hivi kweli unateseka na mtu mliyepotezana miaka zaidi ya kumi iliyopita, why,

Nini ulisahau kwake.

Usiutese moyo hivyo, jitahidi ubadilike hata kwa maombi.

Unless otherwise useme tu na wewe siyo mtu wa kawaida.
 
inabidi mkuu ulelewe huyu alikuparamia kujibu
.

tokea mwanzo anabisha kuhusu ufugaji wa majini,sikuona anabisha katika namna ya kutokuwepo majino,ila katika namna ya kukukatalia wewe.simple tu.
ndio maana hoja za kukutaka wewe uthibitishe zikaibuka
.uthibitishe majini yanafungwa.


ajabu yeye unamwambia athibitishe tu uwepo wa majini,anapuyanga kurasa ya tano hii
,kifupi ameubeba huu mdaharo personal.
 
Nimempa mtu baadhi vyenye maana
Vitabu nimetupa
But hata vitabu vyenyewe na picha havitoki.
Ishu sio vitu.ishu ni yeye
Au mpenzi wa kwanza maishani ndo anakuwaga hivi?
Mpezi gani ambae bado hajakuto...mb.
Unawezaje kumfikiria kiasi hicho mtu ambae bado hukuwahi kuwa na mahusiano nae nje ya urafiki.huyo mchukulie Kama shoga yako tu inatosha
 
hawa ndio wakibanwa kwenye angle mbaya na kiranga wanapapalika sio poa
.
 
Unammiss sababu ameenda america Ila angekuambia alienda matombo morogoro wala usingekuwa na wenge

Fanya maisha yako mbona mihogo ipo mingi tu ni ww kuamua unataka wa kuchemsha,kukaanga au usubiri mwezi wa ramadhani upike futari
 
Mwisho saa ngapi maana napendelea unihudumie kuanzia saa nne usiku ndio muda mzuri
We kondoo una masharti, haya tuanze huduma saa nne mpaka saa sita utaweza lakini huduma huwa ina upako sana
 
kwahyo sasa maneno yangu yamekuwa ithibati tosha...Sasa kama ni hivyo basi hata niliposema majini yanafugika maneno yangu yangekuwa ithibati tosha.
Soma ulichokiandika hujaona nimeandika "upumbavu" ?
 
Sina.ni miaka kumi sasa
He is hunting me like a ghost
Nasahau majina ya wengi ila sio lake
Ana ku hunt vip..wee nyoosha maelezo yako...usije kuwa umesoma kwenye gazete ukahamishia huku ana ku hunt vp
 
ukiitumia JF kwa muda utajifunza kuna watu wapo kubishana,kujifunza,kukosoa,kukejeli,kuelimisha,kupata elimu nk.
Huyu jamaa yupo kubishana So nikiwa sina cha kufanya naamua nipoteze muda kidogo hapa.
its nothing personal nahisi hata yeye anajua
 
Ni mimi apa naomba nijatambulishe mods na wadau humu naitwa jini mashack natokea bahar ya atlantika leo usiku ntakutembelea shart uoge uvae nguo rain na pafyumu nzur usisahau udi mpenz wazaz wangu walinizuia nisikuoe tabu ilianzia hapo yale yote ulioona yalifanyika baharin ili kwako ilikuwa kiin machp ukaona ni tabata sikutak ujue hili baby nichek PM
 
Soma ulichokiandika hujaona nimeandika "upumbavu" ?
kama ni 'upumbavu' imekuwaje ithibati tosha?

Mzee nishaanza kutunga vimistari vya Quran hapa nasubiri unipe Go ahead kwa kunipa sababu kwanini hamna mtu anayeweza...
 
kama ni 'upumbavu' imekuwaje ithibati tosha?

Mzee nishaanza kutunga vimistari vya Quran hapa nasubiri unipe Go ahead kwa kunipa sababu kwanini hamna mtu anayeweza...
Kijana unapenda kupoteza sana muda, hilo la aya nimeshakupa ruhusa tena ujichagulie.
 
Kijana unapenda kupoteza sana muda, hilo la aya nimeshakupa ruhusa tena ujichagulie.
wewe huwezi na hutaweza kuthibitisha uwepo wa hayo majinni utabakiza pauka pakawa...hoja zangu nyingi unazikimbia.

Nimekuambia ukinipa sababu kwanini hamna anayeweza kutunga aya kama ya quran nitaileta hapa aya kama ya Quran..Sasa hata sababu tu ya kwanini watu wanashindwa huwezi kunipa wala hata sijaomba ushahidi wowote kisababu tu umekosa??
Acha uzembe weka sababu niweke aya...nimeshaandika aya kumi mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…