Alikuwa binadamu kweli?

Kwanza rekebisha nilipokukosoa. Weka mfano muafaka, na ule ulio rejea. Nasubiri uwekke mfano stahiki.

Nakufosi uweke mfano stahiki.
Mfano nilioweka unafaa...kama huupendi leta wako usinilazimishe
 
Leta ithibati mzee...vitabu kila mtu anaandika haimaanishi maandishi ndo ithibati.Hiyo Sura imejaa stori za alfu ulela haina tofauti na Pazi na jogoo..Leta ithibati ya kisayansi acha maneno.
 
Leta ithibati mzee...vitabu kila mtu anaandika haimaanishi maandishi ndo ithibati.Hiyo Sura imejaa stori za alfu ulela haina tofauti na Pazi na jogoo..Leta ithibati ya kisayansi acha maneno.
Sasa jambo la kihistoria linataka ushahidi upi wa kisayansi ?

Pili, sayansi haina uwezo huo.

Tatu, kama kuandika rahisi andika mfano wa kipande cha aya. Hili walisjindwa wakubwa wa zamani tena wabobezi katika lugha siyo nyinyi wa leo vichwa mchunga hata mnayo yaandika hamyajui.

Nne, nimekupa sura sasa kama una uwezo ibatilishe hiyo aya na uonyeshe u alfu laila wa laila wake, ukiweza mimi naifunga hii ID.
 
uwepo wa jini ni jambo la kihistoria au fact ya uhalisia wa sasa?
ushaona wapi mtu anataka ushahidi wa kitu kilichopo leo anapewa kitabu kilichoandikwa miaka 1000 iliyopita na wachunga ngamia jangwani?

Unasema kuandika aya siwezi(umeshaamini hivo kabla hujanipa chance)..kwanini nishindwe au kwanini watu wanashindwa?
 
Aisee
 
uwepo wa jini ni jambo la kihistoria au fact ya uhalisia wa sasa?
Uliza swali sahihi kwa munasaba wa kile nilichokiandika. Kam hujaelewa nilicho kiandika bora uulize.

Nimekuuliza jambo la Kihistoria linahitaji vipi ushahidi wa kisayansi yaani sayansi inalithibitisha vipi ?

Pili, historia ni uhalisia endapo ikiafikiana na hali halisi.

Tatu, uwepo wa majini ni jambo la kihistoria kwa maana ya kuangalia chimbuko lao na ni halisi sababu historia imethibitisha hilo na hilo na kuafikiana na hali halisi.
ushaona wapi mtu anataka ushahidi wa kitu kilichopo leo anapewa kitabu kilichoandikwa miaka 1000 iliyopita na wachunga ngamia jangwani?
Huu upuuzi mwingine, wewe chimbuko lako au chimbuko la mwanadamu unalijua kupitia nini ?

Ithibati ya uwepo wa majini nimekupa toka katika kitabu kisicho na shaka ndani yake, kitabu ambacho kinaelezea yaliyopita yaliyopo na yajayo.

Ulichokiandika konathibitisha wazi ya kiwa kitabu chetu hukijui, ndiyo maana unazidi kukosea na utakosea sana mpaka siku ukiamua kuitumia akili yako vizuri.
Unasema kuandika aya siwezi(umeshaamini hivo kabla hujanipa chance)..kwanini nishindwe au kwanini watu wanashindwa?
Nacheka sana, siyo kukupa chance bali mpaka unakufa huwezi kuandika mfano wa aya katika Qur'aan.

Tena jipe muda unao utaka wewe utuandikie.
 
Ingia Youtube mfuatilie Davistar Mata na story za watu anao wahoji. Unaweza pata jibu huyo ni nani
 
Tunashughulika na kesi ya ugonjwa wa kuona/kuhisi vitu visivyoonekana.
.
.
Tatizo hili huenda lisiwepo kwa msimuliaji tu. Huenda hata kwetu wasomaji.
.
.
Adios
 
Hilo jambo la kihistoria ni lipi?
kwani hapa tunatafuta thibati ya nini?
Hapa naulizia jambo linalosemekana lipo sekunde hii wewe unaleta kitabu cha wachambia mchanga miaka 1500 iliyopita?

Sawa na Mtu aseme kuna nchi inaitwa Czechoslovakia..halafu ushahidi uwe ni kitabu cha miaka ya 1800..

Furthermore it begs an inescapable question:Haya prove hayo yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu kuhusu majini ni ukweli.

Nimekuuliza swali,kwanini siwezi kuandika aya kama ya Quran?nijibu hili then nikutungie aya chap
 
Hao majini wanaishi wapi mbona una habar zao tele?
Makazi ya majini ni kwenye mapango, misituni, kwenye maji, na huwa wanapenda kutembelea sana kwenye majalala, makaburini na sehemu nyingi zenye uchafu.
 
kwani hapa tunatafuta thibati ya nini?
Hapa naulizia jambo linalosemekana lipo sekunde hii wewe unaleta kitabu cha wachambia mchanga miaka 1500 iliyopita?
Weww wa kupigwa makofi, hiyo sura inathibitisha uwepo wa majini mpaka kesho siyo leo tu. Kwanza nenda kasome kwanza, usilete utoto na uvivu wa kijinga.

Hicho hicho kitabu yaani mpak unakufa huwezi kukikosoa hicho itabu kila kilicjo andikwa humo ni ukweli.
Sawa na Mtu aseme kuna nchi inaitwa Czechoslovakia..halafu ushahidi uwe ni kitabu cha miaka ya 1800..
Kijana hili tatizo la utoaji mifano naona umelikumbatia mno, toa mfano muafaka.

Swali lako ulitaka ithibati ya majini na uwepo wake hujataka ithibati ya jini fulani, bali ithibati ya jinsia ya kiumbe kiitwacho jini. Kijana uwe unatafakari hata kile unachokiandika mwenyewe, usiwe mjinga kiasi hiki.
Furthermore it begs an inescapable question:Haya prove hayo yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu kuhusu majini ni ukweli.
Kwanza hicho kitabu chenyewe tu ndiyo ukweli, hii ithibati namba moja.

Pili, majini wapo tunaishi nao na athari zake tunaziona.

Tatu, ulikiri kipumbavu japo uliogopa ulichokiona ya kuwa uliona watu wakifuga majini, na wewe nafsi yako inakiri hilo mpaka kesho. Hii ni tlithibati nyingine.
Nimekuuliza swali,kwanini siwezi kuandika aya kama ya Quran?nijibu hili then nikutungie aya chap
Hili nimekujibu tena kwa udhuru, ila ungekuwa makini usingeuliza swali hilo sababu kuuliza kwako kunathibitisha ya kuwa jambo hilo huliwezi.

Suala la kutunga hilo nimekupa ujipe muda unao taka wewe ufanye hivyo.
 
Napataga kazi sana kuchambua maandishi yako yenye maana..enwei
Kwanza hicho kitabu chenyewe tu ndiyo ukweli, hii ithibati namba moja.
upuuzi mtupu..kusema tu kitabu ni cha kweli haikifanyi kiwe cha kweli,prove ukweli wake katika kila instance...mfano hapa prove ukweli wa hiyo sura ya majini kuwa yanayoongelewa humo ni ya kweli
Pili, majini wapo tunaishi nao na athari zake tunaziona.
Enhee hapa ndo kidogo unakaribia karibia...Haya hizo Athari zake zithibitishe hapa...na kama unaishi nao au ni mmoja wao lithibitishe hilo hapa
Tatu, ulikiri kipumbavu japo uliogopa ulichokiona ya kuwa uliona watu wakifuga majini, na wewe nafsi yako inakiri hilo mpaka kesho. Hii ni tlithibati nyingine.
kwahyo sasa maneno yangu yamekuwa ithibati tosha...Sasa kama ni hivyo basi hata niliposema majini yanafugika maneno yangu yangekuwa ithibati tosha.
Hili nimekujibu tena kwa udhuru, ila ungekuwa makini usingeuliza swali hilo sababu kuuliza kwako kunathibitisha ya kuwa jambo hilo huliwezi.

Suala la kutunga hilo nimekupa ujipe muda unao taka wewe ufanye hivyo.
Hujanijibu..taja post
Nauliza tena..kwanini nishindwe kuandika aya kama ya Quran?ukijibu hilo swali rahisi naileta hiyo aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…