sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Umenishangaza kusema majini huwa yanasoma nasi.Mbona unaguna bibie ?
Umenishangaza kusema majini huwa yanasoma nasi.Mbona unaguna bibie ?
Sisomi comments zote, nisingelifanya 'ridandansi' la kiivo mie. Mungu tena!Nlikua sealed.so Ilikua ntakusubiri as long as unitunzie
Khaa mmenichosha na hili swali.
Duh wapi huko?Kuna kitu alikichukua katika hali isiyo kuwa ya kawaida.
Hatua zlizo chukuliwa ni wenzake katika binadamu wakaenda kushitaki kwa Mwalimu, kisha katika kipindi darasani Mwalimu akatoa nasaha kwa majini. Kadhia ikawa imeisha.
njia ya kukimbia mjadala.Unapoteza muda huna la kujibu.
Nakukanya tena usiwe unaandika usiyo yajua.
Umekimbia swali kwa sababu nyingi, na moja wapo ni wewe kushindwa kuelezea hata kile ulicho dai umekishuhudia kwa macho yako kwamba majini yanafugwa.Nani kakimbia swali?unataka nikukibu unavotaka?unajua maana ya kukimbia?Narudia jibu langu la swali ambalo silikimbii kuwa Sina ushahidi na hamna anayeweza kuweka ushahidi fullstop..kama unabisha weka wewe ushahidi majini yapo utakuwa umeshashinda huu mjadala...ila kwasababu nawewe huwezi utaendelea kubwabwaja kuomba kitu nlichokuambia sina ili usitoe kitu ambacho umeclaim unacho.(in real sense huna)
Nikikuambia jana msituni niliona kunguru wa njano ntaweka ushahidi gani watu waamini?
Hili tatizo lingine majonzi unayaona au unaya hisi ? Unajua kuna maana ya kimaaa na maana ya kihisia. Mathalani maumivu ya Moyo kuna maumivu ya kimaana na kihisia.acha fallacy za kitoto uwepo wa A hauprove uwepo wa B...Sasa uwepo wa majonzi hauthibitishi Majinni yapo... mimi nasema majonzi sio jambo la kiimani ni jambo la kibaolojia maana hiyo ni responce to stimuli inaanzia kwenye ubongo..Kuna neurotransmitters na hormones zinaleta emotions kama majonzi,furaha etc.Sasa hivi vinapimika..hata brain activity wakati wa majonzi/furaha nk. inapimika ila Haimaanishi majini wanapimika
Hicho kitu ni kitu gani jamani alichokichukua maana dunia hii ni zaidi ya tuijuavyoKuna kitu alikichukua katika hali isiyo kuwa ya kawaida.
Hatua zlizo chukuliwa ni wenzake katika binadamu wakaenda kushitaki kwa Mwalimu, kisha katika kipindi darasani Mwalimu akatoa nasaha kwa majini. Kadhia ikawa imeisha.
Hapahapa duniani.Duh wapi huko?
Kabisa, nakumbuka kilikuwa kitabu au mfano wake.Hicho kitu ni kitu gani jamani alichokichukua maana dunia hii ni zaidi ya tuijuavyo
Mpuuzi wewe lione![]()
What jamani am trying to help you, wewe si umesema umekiss tu dont worry hajakuchukua kiroho kwa kiss tu, halafu mimi nakusaidia kiroho ni mchungaji mimi, nipe namba PM, mimi sitakupoteza mtaa kama yeye bali nitakuonyesha kila kitu, nina maono i will help you upate ukweliHili kwangu rahisi sana, ila nilisema mpaka utupe wewe ushahidi na ukiri ya kuwa wewe ni Muongo.njia ya kukimbia mjadala.
Ungeweza kuweka ushahidi wa uwepo wa hayo majini ungepata Mandate/power ya kunikanya...sasa kama nawewe umeshindwa tulizana.
Hii dunia wanadamu Kuna Mambo mengi hatujui yanayoendelea ulimwengu wa roho na hii science and technology ndo imetupofushaKabisa, nakumbuka kilikuwa kitabu au mfano wake.
Tena yanasoma hasa.Umenishangaza kusema majini huwa yanasoma nasi.
Nasubiri nikusaidie kiroho.. Kwa mfano hapa napata maono nakuona unaogopa hujui unitafute au lahasha ila unatamani.Duh wapi huko?
Tena imewapofusha hasa. Haya mambo ya kawaida sana, sema huku kwetu yameletwa katika sura ya uligaji na utapeli. Leo hii watu wanapiga watu hela kwa njia ya mapepo mara majini, wakati si mambo ya kutisha kabisa.Hii dunia wanadamu Kuna Mambo mengi hatujui yanayoendelea ulimwengu wa roho na hii science and technology ndo imetupofusha
Huu uhuni sasa.Nasubiri nikusaidie kiroho.. Kwa mfano hapa napata maono nakuona unaogopa hujui unitafute au lahasha ila unatamani.
Ahahaaaaa....! Pole.Maswali gani haya
Halafu mi najua we mwanamke mwenzangu
Sasa wewe unasema Nyerere wa leo, kijana mbona hata kutoa mifano hujui ? Hata mimi Nyerere nimemuona.Tatu,Mambo ya mtume muhamad yanini tena...yani unalazimisha sana tuingie kwenye dini...haya tunaweza kuprove Nyerere alikuwepo kupitia historical sources tofauti tofauti za wakati wake(Au atleast within miaka 100) zikitaja alikuwepo mtu anaitwa Nyerere na sifa zake.Sasa sijui kama unaweza kufanya hivyo kwa Muhammad.
Mbona swali tu kawaida hilo mamiii?. Usijali,siku nitakayo kusindikiza nitakuwa tu mwanamkeMaswali gani haya
Halafu mi najua we mwanamke mwenzangu
Ngoja nimuite Rowin, nakusemeaHuu uhuni sasa.
Umekimbia swali kwa sababu nyingi, na moja wapo ni wewe kushindwa kuelezea hata kile ulicho dai umekishuhudia kwa macho yako kwamba majini yanafugwa.
Wewe wa kupigwa makofi kabisa, maana unataka niendelee kuweka wazijambo ambalo liko wazi.
Suala la kunguru wa njano hili linajulikana ya wazi kuwa ni uongo, ni sawa utuambie jana uliona mtu anatembelea kichwa au utuambie ya kuwa jana uliiona njaa ukaishika. Yaani kuna mambo tayari yameshapewa hukumu kwamba ndivyo yalivyo, yaani sawa useme useme jana umemuona mtoto mkubwa kiumri kumzidi baba yake. Kwanza nikikutaka ushahidi juu ya hilo nitakuwa na matatizo mimi. Sasa jifunze kuweka mifano mahala pake. Nasisitiza ya kuwa swali langu halikwepeki zaidi ya kulikimbia kama unavyofanya.
Sasa kama huna ushahidi kwanini ulisema ya kuwa watu waafuga majini ? Nachukuishia hapo bali ukasisitiza hilo, ila kizaa zaa kikaja nilipo kutaka ulete ushahidi. Kijana ungeliona hilo kweli ungeweza kuthibitisha sababu inawezekana na ushahidi wa mtu mmoja ukiwa umekidhi vigezo unakubalika.
Hili tatizo lingine majonzi unayaona au unaya hisi ? Unajua kuna maana ya kimaaa na maana ya kihisia. Mathalani maumivu ya Moyo kuna maumivu ya kimaana na kihisia.
Nithibitisie majonzi kibaolojia yanapimwa vipi yaani kiwango cha majonzi ? Pia niambie kizio cha majonzi na furaha mibaolojia ni kipi ?
Aisee kuna watu wajinga humu duniani sijapata kuona.