Alikuwa binadamu kweli?

Yas mfuga majini at peak
 
Wew umekosea nyumba or otherwise wew ndio una shida kichwani hakunaga scenario za hivo maishani
Mambo hayo yapo mkuu ,siku moja nlikuwa naendesha bajaji nyuma walikaa wazee wawil nawatoa mombasa nawaleta kwadiwan ukonga ,mmoja akashuka akabak mmoja ,so muda wote ananiuloza relin bado ,nikamjibu bado nikifika ntakushusha sabb upo wewe mwenyew siwez kukupitisha ,ndani ya dakika tano tufike eneo husika (relini ) nageuka nyuma simuoni kwenye bajaji na sikusimamisha popote kumshusha ,unafikir alikuwa wa kawaida ???
 
Aisee kumbe Mambo ni mazito dunia ya Giza
 
Exactly , Yani kukufanya wewe uone vile wanavyo taka.

Huyo binti nakumbuka kilikuwa kipindi sijui Cha wasafi Cha radio kitu kma hvyo
Alianza kuota ndoto kila siku before kumuona huyo mtu.
Ni wapole? Wana busara na wanyenyekevu?
Ukiwatukana wanachukia?
Wanapenda sana kwenye mapenzi?maana upendo nlioonyeshwa si baba.pia ahadi kemkem ila ananiambia sema tu mie maskini abi wangu..nkija fanikiwa utasahau shida zote
 
Niliwahi kukutana na kadhia kama hii yaliyonikuta nilikuwa nakaribia kuitwa marehemu ni stori ndefu Sana na msisitizia huyo dada akazane kwenda kwenye maombi mwisho wake hautokua mzuri trust me
 
Niliwahi kukutana na kadhia kama hii yaliyonikuta nilikuwa nakaribia kuitwa marehemu ni stori ndefu Sana na msisitizia huyo dada akazane kwenda kwenye maombi mwisho wake hautokua mzuri trust me
Leta kisa mkuu....tupate dodoso na elimu kidogo
 
Natamani kujua kama mlipeana makisi na mkaenda hadi 6 kwa 6.

Hapa ndipo inaweza patikana solution.
 
Baadae napanga nirudi tena
Sawa. Ukirudi pekenyua hiyo mitaa yote ya pande hizo. Zungukia na upande mwingine,rudi upande wa juu,wa chini,kushoto,kulia pita katikati. Kama utafanikiwa kupapata,usisahau kupitia kuupitia tena ule mtaa uliochanganya na huo. Vile vile usisahau kuleta mrejesho iwe umeupata au hujaupata ili tukupe tena mawazo mapya
 
Kwa michango ninayoiona hapa nimejikuta nawaza hivi:...."ndiyo maana Dstv channel hizi huwa wanaziweka kwenye package ya hela nyingi, channel kama National geographic, History channel, nk ili wachache wanufaike, kwa kifupi kisa cha Abigail Nabal sio kigeni, kuna visa vingi wa hao watu nimeona masimulizi mengi ya aina hiyo kwenye "Unexplained" ya History Channel nk
 
Comoro mtu anaitwa Henry??

Possibility kubwa umekosea nyumba au kitongoji.. inawezekana ni tabata hiyo hiyo
Ila upande Mwingine..

Unaweza fanya hivi tafuta fundi seremala yeyote maeneo hayo wa wa zamani
Ambae alikuwa fundi seremala miaka hiyo
Lazima mafundi seremala wanajuana WA eneo moja...uanze kumsimulia kisa kisa chako
Kingine wakati Una search eleza ni mtu wa asili ya comoro..


Mfano ukimpata fundi seremala wa wa tabata liwiti ambae amefanya hiyo shughuli almost miaka 15 mwambie unamuulizia fundi aliekuwa anafanya kazi kwenye nyumba ya wa commoro Kwa nje ..
Hapo utapata pa kuanzia..
 
Yas mfuga majini at peak
Hakuna mtu aliyewahi kufuga majini wala mwenye kufuga majini. Sababu wao wamepewa uwezo mkubwa wa ufanyaji mambo kuzidi sisi. Mwenye kufuga majini au anaye dai kufuga majini huyo ni muogo, mwambie akushikie Jini moja akuletee ulione.

Sababu wewe ni kilaza ulivyosikia habari za pauka pakawa kwa watu wasio wakweli kwamba Waislamu wanafuga majini, ukayabeba kama yalivyo. Akili mmepewa bure mzitumie vizuri.
 
Mhhhhhhh!???

Miaka kadhaa nyuma karne hii hii ya 21, katika chuo fulani vijana walikuwa wanasoma na majini au jini bila wao kuwatambua, isipokuwa siku moja jini mmoja alifabya tukio la ajabu ambalo liliwashangaza wanafunzi wanzake. Wale wanafunzi wakaenda kushtaki kwa mwalimu. Sababu mwalimu ni msomi mkubwa, akajua nini kimetokea na alipokuwa anasomesha akawapa nasaha wale majini, ya kuwa wakiwa wanakuja kusoma basi wasome kisha waende zao, wasiwafanyie vituko ndugu zao binadamu kwani so jambo zuri. Hakika walisikia na mfano wa mambo yale hayakutokea tena.

Kadhia za majini ziko nyingi sana, sababu sisi hatuwaoni wao wanatuona.
 
kwani mnakubaligi basi
 
kwani mnakubaligi basi
Kama hatukubali wewe umeyajuaje na ukayathibitishaje kama ni ya kweli ?

Nilishawahi kukwambia wewe ni kinara wa vilaza humu, nimeshakupa njia lakini bado unalia lia, fanya uchunguzi ujiridhishe kisha uje kuleta ushahidi humu. Sio unakuwa kama sponji unafyonza kila kimiminika ukiwekwa kwenye mkojo unafyonza mkojo, ukiwekwa kwenye mafuta kadhalika.

Mnapenda sana kusikia na si kuhakiki habari.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…