Muhoka
Member
- Jan 10, 2012
- 16
- 2
Anaifahamu KATIBA ya Zanzibar kuliko Wazanzibar wenyewe.
Hana lolote, ni kilaza wa kutupwa chuoni kwenyewe alipata PASS kwa kubebwabebwa.
Anaifahamu KATIBA ya Zanzibar kuliko Wazanzibar wenyewe.
kamanda siyo kobe mkuu....Ukiona Kobe kainama............
Tindu Lissu ni kati ya wale wabunge ambao kwa lugha nyepesi wanaitwa 'one term' hivyo ni lazima ajipeleke sana kwa wapiga kura wake kubwa zaidi ni kuwaaga na si vinginevyo
Hana lolote, ni kilaza wa kutupwa chuoni kwenyewe alipata PASS kwa kubebwabebwa.
tegeta by Night bwana
hawa wana siasa bwn, majimbo yapo mbali nao. wanakaa mijini tu sio huyu pekeyake.Ni jirani yangu, nimemuona jana nyumbani kwake Tegeta kibaoni.
hivi wabunge wa ccm nao wako wapi jamani??? mi huwa namskia tu mbunge wa Ludewa kusini Deo Filikunjombe
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.
Ndo yule mwalimu wa mdrasa??naona amepunguza makeke saaana. au anamwogopa Juma Duni Hadji.
hivi samson rweikiza ni mbunge wa waapi?.wabunge wengine bwana sijui wapo dunia hii.
Ni mbunge wa jimbo la Bukoba vijijini mkuu,kwa aliyekuwa mh. Nazir Kalamagi....
hivi wabunge wa ccm nao wako wapi jamani??? mi huwa namskia tu mbunge wa Ludewa kusini Deo Filikunjombe
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.
naona amepunguza makeke saaana. au anamwogopa Juma Duni Hadji.