Aliko Tundu Antipas Lissu

Aliko Tundu Antipas Lissu

alikua jimboni anashughulika na jimbo

Tindu Lissu ni kati ya wale wabunge ambao kwa lugha nyepesi wanaitwa 'one term' hivyo ni lazima ajipeleke sana kwa wapiga kura wake kubwa zaidi ni kuwaaga na si vinginevyo
 
Tindu Lissu ni kati ya wale wabunge ambao kwa lugha nyepesi wanaitwa 'one term' hivyo ni lazima ajipeleke sana kwa wapiga kura wake kubwa zaidi ni k
uwaaga na si vinginevyo

Jamani,si lazima kuchangia kila thread,wakati mwingine unasoma tu michango ya wadau wengine halafu unakula Kobisi!!!
Ona sasa ulivyojiweka Uchi!!
 
jmos iliyopita alikuwa sgd mjini akielezea juu ya mapungufu ya mswaada wa marekebisho ya katiba mpya.kwa sasa anapita kila kona ya jimbo lake kuwaelisha wananch juu ya mapungufu ya mswaada katiba mpya,na kuelezea juu ya utekelezaj wa miradi mbalmbal ya maendeleo kulingan na maeneo husika na kuwaelisha wananch juu ya ushrik wao kwa kila mrad.nitaendeleo kuwajuza kila nipatapo newz
 
Hile
mashine
ninoma,
muulize
werema,kombani.wanaujua
moto
wake.
 
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.

hivi wabunge wa ccm nao wako wapi jamani??? mi huwa namskia tu mbunge wa Ludewa kusini Deo Filikunjombe
 
naona amepunguza makeke saaana. au anamwogopa Juma Duni Hadji.
 
Wapi mbunge mahiri Captain John Komba,mwenye uwezo wa kujenga hoja nzito bungeni

Komba ni mbunge mwenyeuwezo wa kulala na kusinzia zaidi bungeni na si vinginevyo!
 
Tundu Lisu fahari yetu wana Singida, hatujawahi kupata mbunge kichwa kama huyu...................
 
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.

Tangu afakamie ile chai na juice pale Bomani amepoteza direction kabisa, mambo ya kujifanya kimbelembele yamemponza na asipoangalia atakuwa kama Mwakyembe.
 
Back
Top Bottom