mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Daaah kabebeshwa mzigo wa miiba, mwisho wa siku wote wanaompigia kifua watajiondkoa taratiiibuu
Kuanzia leo Ni Kiba vs Mavoko marufuku kusikia Kiba vs Diamond truly unfair competition. Nikama kushindanisha Kobe na Farasi japo wote wanyama.
Kuanzia leo Ni Kiba vs Mavoko marufuku kusikia Kiba vs Diamond truly unfair competition. Nikama kushindanisha Kobe na Farasi japo wote wanyama.
mkuu huwezi kutoa nyimbo mfululizo kama monds lazima zitakua nyepesi sana
Kweli kabisa mkuu!!
...ila na mavoko naona km kamzid kidgo hiv!!, anyway, mavoko anamtosha!
Nyepesi kivip mkuu!
...mbona znasumbua tv za kimataifa km MTV, Trace, Channel O.
...hizo zenu nzito znasumbua na huku ???
mkuu hujielewi unakurupuka tu, pole sana
Kweli kabisa Mavoko ni moja ya msanii ambaye anajua na hapendi kuongea ongea ye kazi tu. Kama Mondi, Ninauhakika Mavoko akiendelea na juhudi zake lazma ampite mbali huyu mfalme Juha.
Kweli kabisa Mavoko ni moja ya msanii ambaye anajua na hapendi kuongea ongea ye kazi tu. Kama Mondi, Ninauhakika Mavoko akiendelea na juhudi zake lazma ampite mbali huyu mfalme Juha.
mkuu bado bado anatakiwa kukaza zaidi
wewe acha kujitoa ufahamu. Mashabiki wenzako wa kiba wanaonge ukweli. Nenda ig ukaone wanavyomsema' ww ni mfano wa shabiki maandazi kumsifia tu ata afanye ujinga badala ya kumwambie ukweli" mashabiki wake wote wangekua kama ww jamaa hatafika popote
huyu kiba anabebwa na promo tu hiz.
Hivi akiachwa peke ake asishndanishwe na huyu mond ata'survive kwel ???
Afu mkuu, huyu mshkaj hawez kutumka fursa ujue, airtel walimsaidia mpk marekan kakutana na r kelly kabisa then karud anachez mpira pale benja!!
Naona kama hayuko serious hivi na mziki halafu watu kama wanamlazimisha awe serious!!
Nani alikiba au mond ???
diamond mkuu
Kweli sio fair kabisa kumfananisha kati ya King Kiba na mtwana Dai, sababu King Kiba yeye ana kipaji na sauti halisi tofauti na mtwana Dai.
KingKiba anajibeba mwenyewe ila mtwana Dai anabebwa na Davido, mr.flavour pamoja na Godfather yani bila hivyo hapa tungekuwa tunaongea mengine.
KingKiba anafanya mziki safi usio na fitina, husda na majungu lakini mtwana Dai anafanya mziki wa fitina husda.
Kingkiba ni kijana anaamini katika mafanikio yasiyo na uzandiki wowote ila yule jirani yake mtwana dai kazi zake ni ushirikina na waganga.
Furaha yangu ni hii kwamba watanzania bado wanatambua uwezo na mchango wa KingKiba ndiomana mpaka leo maelefu ya washabiki bado wapo naye na ndio hao waliompa tuzo za watu juzi, na ndio hao watakaoenda kumpa tuzo 7 za KTMA wiki hii.
Diamond ana mafanikio kuliko allykiba lakini kiukweli kiba ana uwezo kuliko domo maybe nyota tu au hajajipanga vizuri diamond ni msanii ally kiba ni muimbaji
sasa kama alikiba muimbaji mbona hajui kutumia fursa kama mwenzie diamond kufika mbali!!!! Mi naona alikiba ni bahali na menejiment yake ni mbovu sio mi pango kama akina fela na babu tale