Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

Unashindana na mtu kwenda kwa Godfather wakati huohuo unadaiwa pango la nyumba kweli???????Kama unataka kufilisika nenda kwa Godfather,Moe musa amma Clarence Peters hata mara tano tu.Haya mambo wamuachie Dangote maana kama unategemea vishow vya msimu na Fiesta Utafukuzwa kwenye nyumba kwa kukoswa KODI,Time will tell....N.B Yaani hata show kwa Lowassa unakoswa,RIGHT...?! Cc nifah

mkuu alikataaa mwenyewe tu kwa hiyo wasanii wte walioenda kwa lowasa wanauwezo mkubwa kuliko kiba
 
Last edited by a moderator:
Huna hoja?? Jaribu kumpinga kwa hoja basi kuliko haya mashudu unayoyatema humu

Hahahaaa we unamwambia Lukelosakafu ampinge mtoa mada kwa hoja, unafikiri anajua maana ya hoja? We mwambie tu aseme K 4 real ndo analoliweza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom