Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

Daaah kabebeshwa mzigo wa miiba, mwisho wa siku wote wanaompigia kifua watajiondkoa taratiiibuu
 
Kuanzia leo Ni Kiba vs Mavoko marufuku kusikia Kiba vs Diamond truly unfair competition. Nikama kushindanisha Kobe na Farasi japo wote wanyama.

Kweli kabisa mkuu!!
...ila na mavoko naona km kamzid kidgo hiv!!, anyway, mavoko anamtosha!
 
mkuu huwezi kutoa nyimbo mfululizo kama monds lazima zitakua nyepesi sana

Nyepesi kivip mkuu!
...mbona znasumbua tv za kimataifa km MTV, Trace, Channel O.
...hizo zenu nzito znasumbua na huku ???
 
Kweli kabisa mkuu!!
...ila na mavoko naona km kamzid kidgo hiv!!, anyway, mavoko anamtosha!

Kweli kabisa Mavoko ni moja ya msanii ambaye anajua na hapendi kuongea ongea ye kazi tu. Kama Mondi, Ninauhakika Mavoko akiendelea na juhudi zake lazma ampite mbali huyu mfalme Juha.
 
mkuu hujielewi unakurupuka tu, pole sana

Wewe acha kujitoa ufahamu. Mashabiki wenzako wa Kiba wanaonge ukweli. Nenda iG ukaone wanavyomsema' ww ni mfano wa shabiki maandazi kumsifia tu ata afanye ujinga badala ya kumwambie ukweli" mashabiki wake wote wangekua kama ww jamaa hatafika popote
 
Kweli kabisa Mavoko ni moja ya msanii ambaye anajua na hapendi kuongea ongea ye kazi tu. Kama Mondi, Ninauhakika Mavoko akiendelea na juhudi zake lazma ampite mbali huyu mfalme Juha.

Huyu kiba anabebwa na promo tu hiz.
Hivi akiachwa peke ake asishndanishwe na huyu mond ata'survive kwel ???

Afu mkuu, huyu mshkaj hawez kutumka fursa ujue, airtel walimsaidia mpk marekan kakutana na R kelly kabisa then karud anachez mpira pale benja!!
Naona kama hayuko serious hivi na mziki halafu watu kama wanamlazimisha awe serious!!
 
wewe acha kujitoa ufahamu. Mashabiki wenzako wa kiba wanaonge ukweli. Nenda ig ukaone wanavyomsema' ww ni mfano wa shabiki maandazi kumsifia tu ata afanye ujinga badala ya kumwambie ukweli" mashabiki wake wote wangekua kama ww jamaa hatafika popote

k 4 real
 

k 4 real
 
diamond mkuu

Heee:what::what:
Asa kati ya huyo wako video zake (yake) isochezwq huko na Mond zinazochezwa huko unataka mond akaze zaid tena!!
Unaonaje umshaur na huyo wako akaze maana hata shetta na vanessa mdee wanamshinda kwa videos kuchezwa vituo vya kimataifa...
 
Ebwana mi nishabiki wa Ali K mkubwa kiukweli umegusa pasipo guswa Msanii wangu Ali Kiba hajitambui sie yeye hata menejiment yake pia haina vision na mission za kutanua wigo wa Ali kimuziki kama nakumfanya awe big musian na star kama mdogo wake Diamond na tatizo Ali inaonekana ni mbahili wa kuwekeza na kutake risk kama Diamond, Diamond popote penye fursa hashindwi kujaribu, Ndio maana akakubali kuongozwa na kushikwa mkono na akina Said Fela na Babu Tale je Alikiba yupo chini ya menejiment gani mnayoijua yenye malengo ya kumfikisha mbali kama hii ya Diamond. Alipata bahati ya kuimba na R Kelly na ulikuwa ni mwanzo mzuri kwake angeitumia vizuri nakuifanya ni fursa sasa hv angekuwa zaidi ya diamond. Mi naona Alikiba ameamua kulenga soko la Tanzania na kuwa Mwana Dare salaam kama anavyoita nyimbo yake mi kama shabiki wake nimechoka na mtazamo wa msanii wangu nimeamua kutoongea tena na kumuacha ajilie pension yake huku kwa ndugu Diamond ndio kwanza kumekucha ni mwendo wa kukimbiza na kuchukua matuzo mwanzo mwisho.
 
Diamond ana mafanikio kuliko allykiba lakini kiukweli kiba ana uwezo kuliko domo maybe nyota tu au hajajipanga vizuri diamond ni msanii ally kiba ni muimbaji
 

Yaani ww ni mbuzi pori...yaan bado unaamini ktk uganga na uchawi kwnye dunia ya sayansi na teknolojia...huko ni kutindikiwa kwa hoja..huyo mnayemwita ALIKIBABU ashindane na akina matonya ila Chibu dangote mwacheni ailetee heshima nchi yake...Dangote ni mbunifu na anajali mashabiki siyo huyo kiba wenu video kutoa hataki mnamlilia insta lkn mtaji umekata ..mnataka mpaka akose hadi hela ya luku ndo mjue kaishiwa?
 
Diamond ana mafanikio kuliko allykiba lakini kiukweli kiba ana uwezo kuliko domo maybe nyota tu au hajajipanga vizuri diamond ni msanii ally kiba ni muimbaji

Sasa kama Alikiba muimbaji mbona hajui kutumia fursa kama mwenzie Diamond kufika mbali!!!! Mi naona Alikiba ni bahali na menejiment yake ni mbovu sio mi pango kama akina Fela na Babu Tale
 
sasa kama alikiba muimbaji mbona hajui kutumia fursa kama mwenzie diamond kufika mbali!!!! Mi naona alikiba ni bahali na menejiment yake ni mbovu sio mi pango kama akina fela na babu tale

k 4 real daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…