Alikiba Vs Diamond: Unfair competition

K 4 REAL ni mfalme anatisha mazee huwe kumweka meza moja na muimba taarabu kilaza

Huwez ukapinga kwa hoja zaid ya maneno yasiyo hata na maana mkuu, lete hoja weka mezan na ss tupime upande upi upo sahihi..!

Mbona easy tu...
 
King kiba ndo habari ya mjini. Tuache ushabick na kick za kipuuzi za mademu, Ali Kiba ni mwanamuziki anayeelewa anafanya nini. Big up King na mwaka huu wataisoma, tuzo saba zinaenda kwa mfalme.
 
tutoleeni mataarabu yenu hapa, dume zina linaimba taarabu jicho hilooo

Mkuu mbona kama umepanic hivi!!!!

Anyway, hiyo unayosema taarabu (ingawa n mduara, mzik wenye asil ya tz) ina VIEWS 2millions kwa kipnd cha miez miwil ila hiyo nyimbo yenu mwana ina VIEWS 1.8milions kwa kipind chote cha miez mitano (5)...

Naomba kama unajielewa upinge kwa hoja..
 
mkuu unajua kwamba msanii mdhaifu ni yule anayetoa nyimbo nyingi kwa muda mfupi kama diamond.
 
Fikra Zako ni za kimaskini.. Mawazo mgando kama yako kila mtu akiw nayo basi dunia nzima itajaa wachawi na wanaoshinda vijiweni..

Hivi hujui maana ya fursa??!... Dai ameona Fursa kutoka kwa wasanii wa Nigeria kwanini asiitumie...!mbona ally alipata tenda ya kufanya muziki na R kelly tukamsifia japokuwa haijampa mafanikio yoyote kimataifa( aliridhika na mafanikio akawa busy anacheza mpira kwa kuwabalikuwa ameona amefika)...ajiaumu mwenyewe...
 
mkuu sijapanic bwana nipo fresh kabisa
 
King unakuwa na tuzo moja ya kilimanjaro maisha yote ya mziki ???
...Heee!!, na 20% ambaye kawahi chukua 5 kwa mara moja tumuitaje???
 
wewe tulia kiba huwezi kumlinganisha underground mond
 
mkuu unajua kwamba msanii mdhaifu ni yule anayetoa nyimbo nyingi kwa muda mfupi kama diamond.

Mdogomdogo ilitoka mwez wa 4/2014
Bum bum mwez wa 7/2014
Ntampata wap mwez 11/2014
Nasema nawe mwez wa 3/2015
Nana imetoka juz !!!

Unataka atoaje mkuu, mbona interval yake iko mia tu!!!
...Asa kma mtu ana nyimbo nying afanyeje ???
 
King unakuwa na tuzo moja ya kilimanjaro maisha yote ya mziki ???
...Heee!!, na 20% ambaye kawahi chukua 5 kwa mara moja tumuitaje???

tuzo zenyewe za upendeleo baada ya kauli toka kwa mkulu wa nyumba, ila itabakia THE KING IS KING
 
King kiba ndo habari ya mjini. Tuache ushabick na kick za kipuuzi za mademu, Ali Kiba ni mwanamuziki anayeelewa anafanya nini. Big up King na mwaka huu wataisoma, tuzo saba zinaenda kwa mfalme.

Naona unajifurahisha
 
tuzo zenyewe za upendeleo baada ya kauli toka kwa mkulu wa nyumba, ila itabakia THE KING IS KING

Heee!! Kumbee:what::what:
...ko na zile kule za Channel O vip πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mdogomdogo ilitoka mwez wa 4/2014
bum bum mwez wa 7/2014
ntampata wap mwez 11/2014
nasema nawe mwez wa 3/2015
nana imetoka juz !!!

Unataka atoaje mkuu, mbona interval yake iko mia tu!!!
...asa kma mtu ana nyimbo nying afanyeje ???

mkuu huwezi kutoa nyimbo mfululizo kama monds lazima zitakua nyepesi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…