lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamaa ilitakiwa wamshauri kiba atafute major hot song moja itakayomuweka kwenye ramani kama number one na number one remix iteke afrika alafu ndo aongeze biidi ili iwe rahis kuteka soko diamond sahiz hata atoe video mtu anakuwa na hamu ya kuifatilia ila ni ngumu mashabiki wote wa dar tena mchikichini youtube kwa manati kuwika afrika itachukua mda sna
K 4 real daima
wewe na mleta mada mmekula maaragwe ya wapi? yaani the king K 4 REAL unamlinganisha na muimba taarabu?
huna hoja?? Jaribu kumpinga kwa hoja basi kuliko haya mashudu unayoyatema humu
Vita utakayofwata kwenye hii thread, nasubiri kusoma comments tu..
Muimba kimasomaso kwenye maharusi hatuwezi kumshindanisha na msanii intaneshno, aikoni ya taifa kwa kweli
#kama_ronaldo
k 4 real
Unajua hatupingi kuwa ally kiba asiwe na mashabiki tunachopinga ni mashabiki wa ally kiba kulazimisha ally kiba ashindane na diamond... Hapo tu ndo tunapokosana??...
Huwezi ukakuta Team diamond anajisumbua kumpambanisha Diamond na ally kiba ila utakuta mashabiki wa ally ndo mnalazimisha hii unfair competition
k 4 real
Sipati picha ukiwa unaimba "kimasomaso mwanangu msimuone" hilo jicho na vidole unaviwekaje ha haa haaatutoleeni mataarabu yenu hapa, dume zina linaimba taarabu jicho hilooo
Kweli sio fair kabisa kumfananisha kati ya King Kiba na mtwana Dai, sababu King Kiba yeye ana kipaji na sauti halisi tofauti na mtwana Dai.
KingKiba anajibeba mwenyewe ila mtwana Dai anabebwa na Davido, mr.flavour pamoja na Godfather yani bila hivyo hapa tungekuwa tunaongea mengine.
KingKiba anafanya mziki safi usio na fitina, husda na majungu lakini mtwana Dai anafanya mziki wa fitina husda.
Kingkiba ni kijana anaamini katika mafanikio yasiyo na uzandiki wowote ila yule jirani yake mtwana dai kazi zake ni ushirikina na waganga.
Furaha yangu ni hii kwamba watanzania bado wanatambua uwezo na mchango wa KingKiba ndiomana mpaka leo maelefu ya washabiki bado wapo naye na ndio hao waliompa tuzo za watu juzi, na ndio hao watakaoenda kumpa tuzo 7 za KTMA wiki hii.