ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,571
- 7,219
Mbona tulikuwa tunawapenda wote, kuna wapuuzi walioanza kuwapambanisha hapo ndio tabu ilipoanza, kama unakumbuka kuna Fiesta moja alipanda Kiba akashangiliwa sana , bahati mbaya alipopanda Mondi alizomewa na kupigwa na chupa za maji, mambo kama yanaleta mfarakano sanaAlafu Mimi huwa sioni sababu za msingi kwanini tusiwapenda wote.