Alikiba ni msanii mwenye taste unique

Eti "aliletwa kumshughulikia Diamond"..Alikiba kitambo sana anatamba Kenya,Uganda,Burundi na Congo huko.

Alikuwa ni Artist number moja kipindi hicho Diamond anauza mitumba Tandale huko..No wonder akawepo kwenye ile project ya One8 kuiwakilisha Tz.

Kwahiyo acha uzwazwa.

Na Alikiba ameletwa lini kupambana na Diamond?
Kwani nimekataa kuwa Alikiba alitamba sana la hasha, ila baada ya kutoa Dushelele alipotea sana hakuwa tena sehemu ya ushindani, hapo ndio vikaibuka vizazi vipya wakina Bele9 na Diamond, baada ya Diamond kuota mapembe ndipo Kiba akatoka mafichoni na nyimbo ya mwana, na kupewa support ya kutosha ili Diamond akomeshwe maana alikuwa ameota mapembe kwa mujibu wa washika Dau wakina Marehemu Ruge, ili liko wazi, Ata Prof J angepata nusu ya support ya Kiba asingekuwa hivi alivyo sasa
 
Hampendi kabisa ukweli hii ndio shida, nimekwambia Ata Feruzi ni unique sanaaaa, au Ata Prof J yuko unique Sana kuanzia mashahiri mpaka sauti yake, huyu Alikiba alichowazidi wenzake ni support kubwa ya Media na huu ni mpango mkakati ambao lengo lake mwanzo ilikuwa kumshughulikia Diamond
Alikiba alikuwa mkubwa miaka mingi tu kabla ya Diamond hizi accusations wewe unazitoa wapi ?
 
Hampendi kabisa ukweli hii ndio shida, nimekwambia Ata Feruzi ni unique sanaaaa, au Ata Prof J yuko unique Sana kuanzia mashahiri mpaka sauti yake, huyu Alikiba alichowazidi wenzake ni support kubwa ya Media na huu ni mpango mkakati ambao lengo lake mwanzo ilikuwa kumshughulikia Diamond
Ningekuelewa hiyo point yako Kama ningekua nilianza kumsikia Diamond kabla ya Alikiba lkn kwa kuwa alianza Alikiba ndo akaja Diamond iyo sio point.
 
Alikiba alipewa support ya kutosha na media Asa clouds ili apambane na Diamond ,maana Kuna kipindi wenye mziki wao walikorofishana na Diamond, hii support hakuna msanii yeyote wa Zaman alieipata Ata nusu yake, Mtu kama Dully Sykes kaimba sana lakini support ni ndogo Asa miaka hii ambayo ushindani ulikuwa mkali Kati ya Kiba na Mondi
Alikiba alipewa support ili amshushe Diamond .Kama Kuna ukweli kwaio na Diamond kabla hajagombana na hao jamaa alipewa support ili amshushe Nani?
 
Kwani nimekataa kuwa Alikiba alitamba sana la hasha, ila baada ya kutoa Dushelele alipotea sana hakuwa tena sehemu ya ushindani, hapo ndio vikaibuka vizazi vipya wakina Bele9 na Diamond, baada ya Diamond kuota mapembe ndipo Kiba akatoka mafichoni na nyimbo ya mwana, na kupewa support ya kutosha ili Diamond akomeshwe maana alikuwa ameota mapembe kwa mujibu wa washika Dau wakina Marehemu Ruge, ili liko wazi, Ata Prof J angepata nusu ya support ya Kiba asingekuwa hivi alivyo sasa
Sio alipotea alipumzika kdg kufanya music .ivi unajua hata Diamond nwenyewe alishaomba collabo Mara kibao aimbe na Alikiba.kwenye issue ya mziki mzuri aisee uyu mwamba apewe heshima yake anajua mpk anakera but labda uniambie Mambo ya siasa za music ndo anaweza akawa kapitwa na Diamond
 
Hakuna kupumzika hapo , alishindwa na kasi ya Vijana tena Ata Kilimanjaro music awards Mondi alikimbiza mbaya na mpinzani wake alikuwa Belle 9 , Kiba alikuwa hoi, ila baada ya kutafutiwa upinzani na Diamond akapaa, maana lazima azungumzwe
 
Alikiba alipewa support ili amshushe Diamond .Kama Kuna ukweli kwaio na Diamond kabla hajagombana na hao jamaa alipewa support ili amshushe Nani?
Diamond alipewa support kwasababu ya braza wake Jones yule Dj wake pamoja na yule mkongo papaaa a lie mshika mkono na alikuwa anatafuta jina ili atoke, ila Kiba alishapata jina kisha akapotea alipata uhai tena Mara ya pili ili tu apambane na Diamond lakini walishindwa na wataendelea kushindwa
 
Ningekuelewa hiyo point yako Kama ningekua nilianza kumsikia Diamond kabla ya Alikiba lkn kwa kuwa alianza Alikiba ndo akaja Diamond iyo sio point.
Wasanii sio Diamond na Kiba tu, wako na walikuwepo kibao wenye Ladha na mashahiri murua kuliko Kiba na Diamond, hivyo hapo hakuna cha ajabu Ata Prof J ni unique Sana sana kwa kila kitu mashahiri na sauti, na amehueshimisha mziki huu sana
 
Hakuna kupumzika hapo , alishindwa na kasi ya Vijana tena Ata Kilimanjaro music awards Mondi alikimbiza mbaya na mpinzani wake alikuwa Belle 9 , Kiba alikuwa hoi, ila baada ya kutafutiwa upinzani na Diamond akapaa, maana lazima azungumzwe
Alafu Mimi huwa sioni sababu za msingi kwanini tusiwapenda wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom