Alikiba ni msanii mwenye taste unique

ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,480
2,000
Alafu Mimi huwa sioni sababu za msingi kwanini tusiwapenda wote.
Mbona tulikuwa tunawapenda wote, kuna wapuuzi walioanza kuwapambanisha hapo ndio tabu ilipoanza, kama unakumbuka kuna Fiesta moja alipanda Kiba akashangiliwa sana , bahati mbaya alipopanda Mondi alizomewa na kupigwa na chupa za maji, mambo kama yanaleta mfarakano sana
 

goodlif1600

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
450
500
Diamond alipewa support kwasababu ya braza wake Jones yule Dj wake pamoja na yule mkongo papaaa a lie mshika mkono na alikuwa anatafuta jina ili atoke, ila Kiba alishapata jina kisha akapotea alipata uhai tena Mara ya pili ili tu apambane na Diamond lakini walishindwa na wataendelea kushindwa
Mkuu ielewemitaa me sijui kwanini humpendi Alikiba Ila najua nyimbo zake unazielewa Ila utakua na issue personal labda sababu huwezi nambie alipotea Kama angekua alikua anatoa ngoma hazivumi sawa lkn Kama alitulia akawa hatoi ngoma maana yake alipumzika kufanya Mambo mengine iyo ipo duniani kote hata Alina jayz wanaweza kaa hata miaka 3 hajatoa ngoma lkn sio kwamba kapotea
 

ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,480
2,000
Mkuu ielewemitaa me sijui kwanini humpendi Alikiba Ila najua nyimbo zake unazielewa Ila utakua na issue personal labda sababu huwezi nambie alipotea Kama angekua alikua anatoa ngoma hazivumi sawa lkn Kama alitulia akawa hatoi ngoma maana yake alipumzika kufanya Mambo mengine iyo ipo duniani kote hata Alina jayz wanaweza kaa hata miaka 3 hajatoa ngoma lkn sio kwamba kapotea
Mimi nampenda sana ila naweka record sawa wapo waliomzidi sema media haikutoa support ya kutosha kama aliyopata yeye, nikakupa mfano Feruzi na Prof j, halafu kuhusu kupotea huyo alipotea Ata R Kelly alipotea aliporudi wakina Treyz Song wakawa wanamkimbiza mpaka akasusa kushiriki kwenye tuzo akaona anadharirika, damu mpya ni tishio ogopa sana
 

kibaWaKitaa

Member
Apr 26, 2021
26
75
Eti "aliletwa kumshughulikia Diamond"..Alikiba kitambo sana anatamba Kenya,Uganda,Burundi na Congo huko.

Alikuwa ni Artist number moja kipindi hicho Diamond anauza mitumba Tandale huko..No wonder akawepo kwenye ile project ya One8 kuiwakilisha Tz.

Kwahiyo acha uzwazwa.

Na Alikiba ameletwa lini kupambana na Diamond?
nmejikuta nacheka sana...anyways tumsamehe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom