Alikiba Anamfunza adabu Sadala huko Youtube

Sasa mbona ya juu ndio iinawatu wengi
Anyway sio kwa ubaya ila ukweli kaka ally hawez kumzid huyo jamaa
Huyu sadala watamuua kwa presha mkuu
IMG_20210702_190248_222.JPG
 
Inakuwaje watu wacoment zaidi kwa trend no2 kuliko trend no1?...hakuna shida mahali??

Screenshot_20210702-185509.png
 
ila zuchu anamuendesha sana kiba, just imagine ndombolo bado inakimbizwa na dance video... akaona haitoshi akaamua alete na salute ambayo nayo bdo kidogo itaanza kukaliwa kooni na official video

yaani nyimbo mbili bdo znakimbizwa na wimbo mmoja.! hapa ndo nimeamini kiba kapata mshindani wake og, wale wengine ni fake
by team zuchu, ain't WCB
 
Zuchu (one woman army) against kikundi cha waimba ndombolo + rude boy

the heavyweight madame
 
Mwanamziki wa youtube Sadala Anakimbizwa kweli kweli na mfalme wa Bongo fleva huko youtube,.

Sadala ngoma ina siku tatu

King Kiba ngoma ina siku mbili

Kwenye Digtal platform ndo usiseme Sadala anakimbizwa kweli kweliView attachment 1837959
View attachment 1837963
ila dunia haiko na usawa hata kidogo,mwenzako yuko Marekani anapambania makolabo na maproduction ya kimataifa we uko bongo sijui kenya unapambania views m 2 youtube ambazo mwenzako alishavunja hayo marekodi kitaaambo saana😆
 
ila zuchu anamuendesha sana kiba, just imagine ndombolo bado inakimbizwa na dance video... akaona haitoshi akaamua alete na salute ambayo nayo bdo kidogo itaanza kukaliwa kooni na official video

yaani nyimbo mbili bdo znakimbizwa na wimbo mmoja.! hapa ndo nimeamini kiba kapata mshindani wake og, wale wengine ni fake
by team zuchu, ain't WCB
Zuchu ashindane na kiba? Nandy hajamfikia bado,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom