Emasa
Member
- Nov 14, 2008
- 38
- 2
Ninae rafiki yangu ambae ameamua kuweka wazi swala linalo msibu,Alifanya
Mapenzi na rafikie wa kiume(hawakukusudia) lkn katika michezo ya kushikana shikana
Walijikuta wanaishia kufanya mapenzi(akiwa hajafikisha miaka 20) anasema alipata maumivu
Lkn tangia hapo mpk leo(ana miaka 27) hisia zake kimapenzi kwa wanaume ni kali kuliko kwa wasichana
Na anaomba msaada TUTAMSAIDIAJE?
Kwa maelezo yake hajarudia tendo hilo lkn ndo hivyo anawa feel wanaume na hata akiwa na wasichana
Anakua haridhiki na tatizo kubwa limekuja sasa kwa sababu anataka kuoa na hajui afanyeje ili awe
Kawaida.....!!