Aliexpress vs ebay upi unatumiwa bidhaa haraka?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,720
Naomba niilete mezani hii mada ili iwasaidie na wale wanunuzi wa bidhaa eti kati ya ebay na aliexpress ni upi unapata bidhaa yako mapema?
Yaani kukutumia mzigo unakufikia kwa muda mchache na mapema?
Watu wamekua wakilalamika bidhaa kukaa mwezi au zaidi
Naomba hapa tusizungumzie kina DHL kbs
Tuzungumzie kwa niia za kawaida za kumudu km posta n,k
Ni mtandao upi wateja wanapata bidhaa zake mapema na haraka zaidi?
 
Kwa bidhaa ndogo ndogo na za*awaida tumia kikuu ni within 3-10 days watu wanasumbuka kununua vitu vya kawaida kabisa ambabyo binaweza kupatikana kupitia jumia.com zoom tz ama kikuu
 
kuchelewa kuna sababu nyingi na kuna tofautiana kati ya supplier na supplier. Kitu unachopaswa kuangalia sana ni ubora wa bidhaa unayooagiza. Most of Allisuppliers are Chinese, bahati mbaya bidhaa zao zina uboira wa chini sana, na-nikirudi kwenye hoja yako Ali bado wana traces zote za uswahili, ikiwemo ucheleweshaji.
 
Binafsi nimekuwa nikinunua bidhaa eBay kwa miaka minne sasa.
Mambo niliyo'observe so far ni kama yafuatayo:-
* Fast Delivery inategemea sana na kama utalipa either Economy Shipping cost na kama utalipia ile ya "Expedited Shipping" (japo ndo gali) mzigo wako utasafirishwa na fast-shipping couriers (mara nyingi, ni per avion) .

*Ni mara chache sana nliweza kupata mzigo wangu chap kupitia Free Shipping. Mpaka ikifika muda nkazoea kusubiri mpaka siku 30-40 mzigo ufike.

*Kwa item zinazotoka Far East, kuchelewa kidogo ni jambo ambalo linasababishwa na vitu kama umbali, njia iliyotumika kusafirishia item yako, delay za customs upande wetu, na urasimu.

*Usipokuwa na mtu unaemjua pale posta (kwa wengi wetu tunaochukulia items posta) kwa kupata updates za parcels na items zako, sometimes utakaa mda mrefu bila kujua mzigo wako uliko. Mi binafsi, kuna msista ni mabesti kila kukiwa na parcel/item inayonihusu bas atanitaarifu.

*HILI NI LA MUHIMU. Kama mzigo wako hauna TRACKING NUMBER asee ni rahisi sana kupotea/kuibiwa kabisa na watu flani flani (hapa sina uhakika kama huwa ni wao au vipi). Tracking number inasaidia sana kujua mzigo ulipofikia katika safari yake kukufikia. Na siku hizi kuna delivery/tracking apps nyingi unazoweza kutumia ku'track mzigo wako.
Mara nyingi hizi Tracking Number zinakuja kama mzigo umelipiwa shipping cost na hata msafirishaji huwa anatumia zile "Registered" i.e. tracking number zenye RH/RS/RN, etc. ambazo ndizo zenye urahisi wa ku'track hata kupitia website ya Posta yetu.

Kumalizia hoja yangu, binafsi naona hili suala halina saana kuwa ni eBay au AliExpress... Ni ufanisi wa muuzaji katika kutoa huduma itakayomfikishia mteja bidhaa haraka na pia ni upande wa mteja katika kuchagua anataka mzigo umefikie vipi (hapa kuna kukwepa shipping cost ili umaintain budget yako)

Yangu ni hayo tu.
 
Kwa bidhaa ndogo ndogo na za*awaida tumia kikuu ni within 3-10 days watu wanasumbuka kununua vitu vya kawaida kabisa ambabyo binaweza kupatikana kupitia jumia.com zoom tz ama kikuu
mkuu bei zake.zipo.juu mfano laba ebay utapata kwa $7 huko.bei ziko juu
 
Mkuu, hapo umemaliza kabisa!
 
Kwa bidhaa ndogo ndogo na za*awaida tumia kikuu ni within 3-10 days watu wanasumbuka kununua vitu vya kawaida kabisa ambabyo binaweza kupatikana kupitia jumia.com zoom tz ama kikuu
kikuu iko wap?
 
Back
Top Bottom