Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

Objectively ni kweli umeoa mzee, sasa kuambiwa ukweli tatizo liko wapi???Kwani ni uongo kuwa umeoa mzee? Mwanamke mwenye miaka 55 ni kijana???
 
Objectively ni kweli umeoa mzee, sasa kuambiwa ukweli tatizo liko wapi???Kwani ni uongo kuwa umeoa mzee? Mwanamke mwenye miaka 55 ni kijana???
Sasa kama ni hivyo aende amuombe mkewe ambae ni kijana, sasa anakuja vipi kuniomba mm, mm Sina hizo pesa, huyo mke mzee aliemkataa ndio mwenye hizo million kumi na tano
Sasa logic ipo wapi hapo? Sasa utasaidiwaje na mtu uliedai mzee?
Acha wamvunjie nyumba tu
Objectively ni kweli umeoa mzee, sasa kuambiwa ukweli tatizo liko wapi???Kwani ni uongo kuwa umeoa mzee? Mwanamke mwenye miaka 55 ni kijana???
 
Mdogo wako ni mkweli sana sio mnafiki huyo ni Mzee kwako.

Pili huyo ni nduguyo wa damu sio vinginevyo msaidie wala hakufanya kosa kukuambia unaoa mzee.

Labda nikuulize uzee unaanza miaka mingapi?
 
Broo pamoja na kuwa na roho mbaya ya kutotaka kumsadia mdogo wako una moyo, 55 kwa 34 si menopause hiyo, yaani wewe una 40 yeye ana 61 wewe una 50 yeye ana 71?
 
Mimi nimekuwa interested na huo umri wa miaka 34 na 55 yaani difference ya 21 Years. Ukweli sijajua jamani mleta mada kwa nia njema hebu tusaidieni hizi hesabu kwa kweli. Ila nikupongeze sana kwa kufanya kile moyo wako unahitaji. 😛ia ningependa kama mliweza kufanikiwa kupata watoto kwa kuwa hujasema mlioana mke wako akiwa na umri gani? Ukweli ndugu zangu maisha ya ndoa yamekuw ana changamoto sana kwa vijana wa miaka ya leo. Mimi na utu uzima wangu nimeshashuhudia ndoa nyingi mno za vijna zinavunjika na ukiangalia sababu unakuta wala si za msingi sana. Wasichana wana kazi zao hawashikiki hakuna wa kuwa kichwa cha nyumba wote mke na mume ni vichwa katika nyumba. Ukweli kwa miaka ijayo kama kumi hivi tuashuhudia talaka nyingi na pia kwa sasa tunaona uzoefu mkubwa sana kwa vijana wengi kuona wanawake waliowazidi umri na wanakuwa na maisha ya amani sana. Kina dada hii ni changamoto kubwa sana kwenu inabidi mjifikiirie sana kwa aina ya maisha ya ndoa mnayotaka.
 
Acha roho mbaya mkuu kwani uongo hujaoa mzee
 
Kwa hiyo serious kabisa unampenda mbibi wa 54 yrs. Huyo atakuzalia kweli au huna mpango wa mtoto kwa sasa. Yeye ana watoto?? Kama wapo wanakuchukuliaje??
 
Wewe unadhani alikuwa anaongea uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…