Dah.... Wapi kaandika kuwa wanataka mtoto baba? Yeye kaandika kuwa wengi walisema alimuoa huyo kwa sababu ni mwanamke tajiri basi. Sasa hayo mambo ya mtoto labda uyalete wewe [emoji4]kweli kipenda roho hula nyama mbichi, walisema wahenga, lakini 34 mpaka 55 palefu (soma paleeefu) ni kama mama na mtoto wake. mama akiwa amemzaa mtoto wake akiwa na miaka 21!!
Hivi kibaiolojia, mke wa huyu bwana katika umri huo anaweza kuzaa? just for curiosity
Dah.... Wapi kaandika kuwa wanataka mtoto baba? Yeye kaandika kuwa wengi walisema alimuoa huyo kwa sababu ni mwanamke tajiri basi. Sasa hayo mambo ya mtoto labda uyalete wewe [emoji4][/QUOTE
Mkuu sijasema kuwa wanataka mtoto. ndiyo maana niasema "just for curiosity".
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji23]dogo kaongea ukweli umeoa mzee hivyo usimmaindi, ka jimama lako limeridhia kumsaidia mkubalie tu dogo apate msaada
Na anaweza kuwa mtoto wake wa pili kabisakweli kipenda roho hula nyama mbichi, walisema wahenga, lakini 34 mpaka 55 palefu (soma paleeefu) ni kama mama na mtoto wake. mama akiwa amemzaa mtoto wake akiwa na miaka 21!!
Hivi kibaiolojia, mke wa huyu bwana katika umri huo anaweza kuzaa? just for curiosity
Ila ingekua vice versa? Mwanaume 55 mwanamke 34 mngekubali?
Binti wa miaka 20 hata aolewe na babu wa miaka 70 isingekua shida right?
Nilivyosoma mara ya kwanza hii mada nikakasirika,ila nilivyorudi na kusoma jina la mtoa mada nikajikuta nimecheka mpaka aliye pembeni yangu hapa kaniuliza unacheka nini....Samehe saba mara sabini
Kaboom wewe una busara na ubarikiwe.Mwenye pesa zake anataka kumsaidia..We tatizo lako nn..Kwani mkeo alikuwa hajui kama mdogo wako anafanya kampeni ili msioane..Mbona yeye kakunjua moyo na anataka kumsaidia